Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani mimi kabla hata kuku hawajalala mie shajifungia ndani
Halafu hata sitamani. Kuna kaka yangu ananiitaga "utumbo" eti najifungia sana ndani.

Mdogo wangu usiniambie nawe umerithi?
Nimerithi kabisa yaani.
Kagiza kakianza kuingia ukitaka kuja kwangu hamna haja ya kuniuliza kama nipo maana ni lazima niwepo na milango yote nimefunga.

Hivi viwanja sivijui hata vinafananaje yaani. Nikisema leo sipiki acha nikachome kuku au pizza nikifika namwambia funga kabisahapo naenda kulia nyumbani.

Basi wananisemaga ila ndio hivo sibadiliki yaani wameishia kuniita "mama mchungaji"
 
Kama hujazoea huwezi tuu dear... Nakumbuka kuna siku mpaka nikawa nawasumbua tuondokee Shunie alinunaaa
 
Sio ushamba mpenzi. Kila mtu ana kitu anakipenda. Mimi sasa hivi hunibebi kunipeleka club ila nilikuaga kama nimechanjiwa nilivyokua chuo. Sasa hivi kitu naweza kukifanya ni kunywa tu. Hata nikalie crate ya bia kama kuna kamziki na story nakaa.
Sema sasa nikisema nijifungie ndani naweza kaa hata siku 3 sifungui mlango.
Mkubwa mara mbili.
Sema ushamba ukinitoka.
 
Back
Top Bottom