Ila kumpata mnyaki,au mkurya mweupe na mhayaa ni kipengele haswaa...!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nilikua na marafiki zangu wawili weupeee hao mmoja mkurya mwingine mhaya tulikua tunasemaga wao sio wa hayo makabila wamevamia tu au illegal migrants!Kwetu tumegawanyika kuna weupe peeee na weusi. Hawa wenzetu weupe huwa wanakataliwa kama wanyaki, tena wa Tukuyu[emoji23][emoji23]
Ukute uko busy Unamchunga mdogo wako?
I can imagine mshepu huoo!plus rangi na kasura kazuuri!!Same here. Huwa naitwa sana mnyamwezi, na wengine huwa wanafikiri nina asili ya kaskazini (the way nilivyo according to their perception + meno yameoza)
Nafikir ni asili pia ya hayo makabila ht akiwa msomi atachanganya kidogoHahahaaa.. ila majority of them wanachanganya sana. Sema wasomi mara chache chache huchanganya. Ni asili nadhani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]loohh!Nipo macho ndio! Samahani nje ya mada lakini!! Wewe ni nshomile???
Sema mikono niliweka ya puto Sijui... kuanzia kwenye bega papana kidogo ila huku mwisho wa mkono pamebana na lastiki..mikono mirefu.. ngoja tusubirie fundi afanye makaratee tuone..Ooh ok. Nasubiri picha kwa hamu
Hahaaaaaa.....Sasahivi hamnisemi aseeh... 5 fully years nimekaa huko tena kijijini haswaaa! Intiria huko Ukiongea tu kuuliza bei ya kitu wanajua ogu mushwahili hahahaaa..wanakutajia bei kubwaaaa dah!
Hivi hii inatokana na nini watu ukiwatajia saa ingine wanabisha!Mie ukikutana na mie live, pia utauliza kabila langu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tena unaweza hisi labda mzigua kila mtu hunipa kabila analotaka yeye [emoji23][emoji23][emoji23]
I can imagine mshepu huoo!plus rangi na kasura kazuuri!!
Mtu anabisha kwasababu ana majibu yake, dawa unamuachia jibu lake tu 😊😊😊 ilo afurahiHivi hii inatokana na nini watu ukiwatajia saa ingine wanabisha!
Kwema sana rafiki! Happy Sabbath day!!
Mzee tafuta mdgo wake acha janja janja kumpiga sound dogo she looks very intelligentYeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....
Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this tumultuous world [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2081510View attachment 2081513View attachment 2081515
Sema mikono niliweka ya puto Sijui... kuanzia kwenye bega papana kidogo ila huku mwisho wa mkono pamebana na lastiki..mikono mirefu.. ngoja tusubirie fundi afanye makaratee tuone..
unitag rafiki usisahauHahaha.. rafiki niwacheeeee niwacheeeee 🤸🤸💃! Ntaselfika nikichukua kitenge chenye mshono wa ma mtumishi tu..napo ntaipiga hio nguo tu!
Au mwinyi. Kachelema unakufaham?acha kabisa.. acha leo niende tabora mitaa ya bachu, chemu chemu.. [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] nikawasalimie
Watu huwa ni wabishi sana, mie huwa nawataja surname tu , ukitaja kabila hawaamini .Maana hapo ataanza kusema mbona watu kabila hilo hawapo hivi ? anauliza tena umefanyiwa FGM ?Hivi hii inatokana na nini watu ukiwatajia saa ingine wanabisha!
Sauwaaa!unitag rafiki usisahau
Hongera Sana. Muwe mnatusalimia kaka zenu.15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME