Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Anasema yaani Huyu dogo sijui mnamuona nani🤣Huyu kuku ht mi nisingekubali ule peke yako looh![emoji2][emoji2]
Yaani ale nyama pekeyake,,kwamba ni mgeni hapa nyumbani ni mara ya kwanza yeye kuja?
Mama anasema akijisikia atawagawia😂😂😂😂😂😂😂basi nilikuwa najaa bichwa langu hili.
Kipande vya mzee nilikuwa nimeshamtengea,,,hakuna kitu nilikuwa napenda kama kumfurahisha mzee wangu hasa upande wa chakula.