Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,086
- 8,442
kufunguliwa PM na mahondawKipi unatamani mpendwa?
kufunguliwa PM na mahondawKipi unatamani mpendwa?
Mimi mwenyewe nikiwa nyumbani huwa napenda kukaa tu chumbani hadi jioni mzee akirudi ndio natoka.Hakika umefaidi uziwanda
Wewe ni kiranja wetu last born maana umefaidi kweli ,mimi nilikuwa kapole mara nyingi najificha tu chumbani .
af maisha yataendaje..Uache kudeka?
Babu yako akisoma huu ujumbe ataona wivu balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Jamanu umejuaje Kama ninamatatizo??
Unanifaa yaani
hapa uzi kupoa ni mpaka nitekelezewe ombi langu..[emoji23][emoji23] anatuwakilisha vyema sie watoto vya mwisho .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ajikaze tu[emoji16]Babu yako akisoma huu ujumbe ataona wivu balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Kila la kherihapa uzi kupoa ni mpaka nitekelezewe ombi langu..
asante mzee wa lindoni ila hiyo situmii mimi supu ya samaki tu kwaajili ya faida za hapa na pale ukubwani..hahahaha.mkuu karibu kitimoto. Au we muzee wa biriani na mandi
Niulize mwenzio hapa,naishije?af maisha yataendaje..
asante mkuu mapambano yanaendelea..Kila la kheri
Tena mwambie kwani ujana wake aliula na nani mpaka awabanie wajukuu zake msipate faraja! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ajikaze tu[emoji16]
Mjukuu nahitaji faraja[emoji7]
wewe unaonekana tu una mastress kilo 50 na utakoma na bado..Niulize mwenzio hapa,naishije?
Mie sipo[emoji2440][emoji2440][emoji2440]Tena mwambie kwani ujana wake aliula na nani mpaka awabanie wajukuu zake msipate faraja! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Babu yako akizidi kuwabana, mwisho atakuwa mchawi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Mie sipo[emoji2440][emoji2440][emoji2440]
Shauri yako
Ongeza 950wewe unaonekana tu una mastress kilo 50 na utakoma na bado..
Loooh jamani[emoji47]Babu yako akizidi kuwabana, mwisho atakuwa mchawi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
unataka upate wa kufanana na wewe kwenye dhiki eti, ndo maana unanibania nisidekezwe ..Ongeza 950
Mie nimedekezwa/nadekezwa na madhara ya kudeka nayaona now[emoji41]unataka upate wa kufanana na wewe kwenye dhiki eti, ndo maana unanibania nisidekezwe ..
madhara au faida, au kudekezwa kumepungua na ulishazoea sasa unaisoma namba kigiriki..Mie nimedekezwa/nadekezwa na madhara ya kudeka nayaona now[emoji41]