Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mimi watu wakaniambia bila kuumizwa hutoweza kukaa kwenye ndoa ,ni lazima upate experience ya maumivu kwanza .😂😂
Nilishayapitia🤣🤣
Mimi watu wakaniambia bila kuumizwa hutoweza kukaa kwenye ndoa ,ni lazima upate experience ya maumivu kwanza .😂😂
Nilishayapitia🤣🤣

Amen
Hakika hujachelewa kuweka bond nzuri na wanao , kitu kikubwa tunachokosea sisi wanawake ni kupandikiza chuki kubwa watoto kuwa baba hafai , hawapendi , etc haya maneno yanaumiza sana watoto na kupelekea psychological trauma kwa mtoto mwenyewe .


Busara zako mkuu Mama Mchungaji Heaven Sent Hivi umesema wewe ni first & last born umemaanisha huna mdogo wako mwenye busara kama zako?
Andika dada tuzidi kujifunza .Umeongea kitu kikubwa sana. Ngija nitafute mood ya kuandika gazeti![]()
Hivi ni kweli??Mimi watu wakaniambia bila kuumizwa hutoweza kukaa kwenye ndoa ,ni lazima upate experience ya maumivu kwanza .
Kweli lakini kujitoa kote huko mwishowe unasikia hakuna kama mama.
😍😍
Sina uhakika maana sipo huko kwenye ndoa bado , tusubiri majibu ya wadau .Hivi ni kweli??
Ngoja wakubwa waje waelezee.
Mhenga mwenzangu, tuombe uzima.This is me...!!!binamu hua hukosei una akili sana!Fanya baasi tuonane!
🤣🤣🤣🤣🤣Nimechekaaaa kama mazuri. Mungu ni mwema, mwamini tu






Sasa hapa umenikosha sana
Umenitag pekeyangu
This is what i want
Nakuja kaka HM![]()
Ohoo kumbe wote bado hatujavuka mto wenye mamba🤣🤣Sina uhakika maana sipo huko kwenye ndoa bado , tusubiri majibu ya wadau .


Mimi watu wakaniambia bila kuumizwa hutoweza kukaa kwenye ndoa ,ni lazima upate experience ya maumivu kwanza .
Vile najisikia raha mie lastborn 🤗🤗
Sina uhakika maana sipo huko kwenye ndoa bado , tusubiri majibu ya wadau .
Vizito kweli ila ni vyema kujifunza .Sio lazima kusema za ukweli; ingawa kwa % kubwa, tunapigwa na vitu vizito kwanza![]()
Hapana jamani. Kuna watu wana-sail vizuri tu. Na kuna wengine ni kulia tu tangu dating hadi ndoani. Hayana formula haya mambo. Na wengine huku kuumizwa kwenye dating kumewafanya wabaki na uchungu; hata hizo ndoa hawazitaki tena, na hata wakijilazimisha kuingia huko; nothing good will come out of them.