Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,900
- 136,567
Uache kudeka?bado siku 29 za kuvumilia, niache..
Uache kudeka?bado siku 29 za kuvumilia, niache..
Jamani si tangu juzi nilikwambia!![]()
nilisahau ujue💃Wee hebu tuma huko
Una matatizo, na matatizo yako mimi tu ndie ninaeweza kuyamaliza!nilisahau ujue

Asante sana mkuu...niwekee aisee!Karibu Forodhani tukule mishkaki ya samaki!![]()
hahahaha.mkuu karibu kitimoto. Au we muzee wa biriani na mandinakuombea maisha mema huko ituri niache na harakati zangu..
Hakuna uhusiano mzuri kama wa baba na mtoto wa kike , ni pure love ..
Mungu awabariki wazazi wetu kwa kutulea na kutuonyesha upendo wa dhati .
Sikudeka kihivyo maaana nililia kwenda boarding toka grade 3 nikawa mtoto wa bweni .
Sasa hivi nimelala..nikiamka saa mbili usiku niangalie majina kbs madam
Ila kuna mmoja sijaona selfie yake kbs,sijui hata anafananaje maana yeye daily anapost maandiko na nyimbo za injili akishirikiana na ndugu yangu 9.8ms squared ..namzungumzia mama mchungaji Heaven Sent
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
The same to my late father...despite all his weaknesses but he was the best dad to me.Kuna kitu nilikuwa nawaandikia na Saint Anne hapa. Hakuna kitu kimenijenga na kunisaidia sana katika maisha yangu kama mahusiano mazuri na baba yangu. His love, care, attention, protection and everything he gave to me; vimenipa kujiamini, kujipenda, kujithamini na of coz kuwa na upendo mwingine sana kwa wengine.
Nilipata changamoto kidogo wakati naanza dating; i thought all men are just kike my father; so nilitegemea care, attention na makila kitu; ila slowly wakanifundisha kuwa wao sio baba zangu (msicheke). Na my greatest weakness ni kupenda attention; hiyo ni mpaka kesho kutwa. So kiugumuugumu nikaanza kupunguza madeko hadi ukimpata wa kukudekesha.
Ila katika yote; binti aliyelelewa kwa upendo na baba yake; ni binti anaye-value wanaume sana. Pamoja na vitu vizito vyote vilivyonipiga huko; sikuwahi kuwachukia wanaume wala kubeba uchungu juu yao wala kugive up kwenye mapenzi. Huwa naamini wanaume wazuri wapo wengi tu. So utakuwa mvumilivu hadi siku charming prince anapootokea
Binti aliyependwa na baba yake; anakuwa mvumilivu ila hawezi kusettle kwenye abusive relationship. Anajua nini maana ya kupendwa, so there is no way ataona sawa kukaa kwenye sehemu ambayo hapendwi na anaumizwa kimwili au kihisia. So sio rahisi kufa kisa ndoa.
Too bad nilikuja kukutana na a certain case ya sexual abuse kwa mabinti kadhaa; too bad wote walikuwa na dad issues. Karibu wote wana absentee fathers au wale waliobahatika kukaa nao, ni wale kina baba wa kutoa matumizi basi. Mabinti wa hivi wanakuwa vulnerable to sexual abuse; kuna watu wanaweza kuwa-manipulate wakijifanya wanawapenda lakini wanawatumia. Ni kama wana kiu ya kupendwa so wakikutana na manipulators, wanatake advantage. Mtu ambaye ameshaonyeshwa upendo wa kutosha huwezi kumdanganya tu na vi -i love you afu eti ukamtumia; they know and have seen what i love you means. Baba akiwepo, ukitugusa tu au ukitusumbua, tumeshaenda kusema; so hata kuwa abused si rahisi
Mama mchungaji wangu kuna siku alituambia " ni heri kumkosa mama kuliko baba". Kila mwanamke ana umama ndani yake; so ukimpoteza mama kuna aunt, kuna dada, kuna ma mdogo, bibi n.k wanaweza wakakulea kama mama. Lakini sio kila mwanaume ana ubaba ndani yake; so ukibahatika kumpata mwanaume mwenye ubaba halafu ukampoteza; aisee ni umepoteza haswa. Mwisho wa kunukuu.
Mimi nimeishi nyumbani ,yaani katika watu wamedeka na mimi nimo.Hakuna uhusiano mzuri kama wa baba na mtoto wa kike , ni pure love ..
Mungu awabariki wazazi wetu kwa kutulea na kutuonyesha upendo wa dhati .
Sikudeka kihivyo maana nililia kwenda boarding toka grade 3 nikawa mtoto wa bweni .
Tangulia ntakukuta....
Kuna kitu nilikuwa nawaandikia na Saint Anne hapa. Hakuna kitu kimenijenga na kunisaidia sana katika maisha yangu kama mahusiano mazuri na baba yangu. His love, care, attention, protection and everything he gave to me; vimenipa kujiamini, kujipenda, kujithamini na of coz kuwa na upendo mwingine sana kwa wengine.
Nilipata changamoto kidogo wakati naanza dating; i thought all men are just kike my father; so nilitegemea care, attention na makila kitu; ila slowly wakanifundisha kuwa wao sio baba zangu (msicheke). Na my greatest weakness ni kupenda attention; hiyo ni mpaka kesho kutwa. So kiugumuugumu nikaanza kupunguza madeko hadi ukimpata wa kukudekesha.
Ila katika yote; binti aliyelelewa kwa upendo na baba yake; ni binti anaye-value wanaume sana. Pamoja na vitu vizito vyote vilivyonipiga huko; sikuwahi kuwachukia wanaume wala kubeba uchungu juu yao wala kugive up kwenye mapenzi. Huwa naamini wanaume wazuri wapo wengi tu. So utakuwa mvumilivu hadi siku charming prince anapootokea
Binti aliyependwa na baba yake; anakuwa mvumilivu ila hawezi kusettle kwenye abusive relationship. Anajua nini maana ya kupendwa, so there is no way ataona sawa kukaa kwenye sehemu ambayo hapendwi na anaumizwa kimwili au kihisia. So sio rahisi kufa kisa ndoa.
Too bad nilikuja kukutana na a certain case ya sexual abuse kwa mabinti kadhaa; too bad wote walikuwa na dad issues. Karibu wote wana absentee fathers au wale waliobahatika kukaa nao, ni wale kina baba wa kutoa matumizi basi. Mabinti wa hivi wanakuwa vulnerable to sexual abuse; kuna watu wanaweza kuwa-manipulate wakijifanya wanawapenda lakini wanawatumia. Ni kama wana kiu ya kupendwa so wakikutana na manipulators, wanatake advantage. Mtu ambaye ameshaonyeshwa upendo wa kutosha huwezi kumdanganya tu na vi -i love you afu eti ukamtumia; they know and have seen what i love you means. Baba akiwepo, ukitugusa tu au ukitusumbua, tumeshaenda kusema; so hata kuwa abused si rahisi
Mama mchungaji wangu kuna siku alituambia " ni heri kumkosa mama kuliko baba". Kila mwanamke ana umama ndani yake; so ukimpoteza mama kuna aunt, kuna dada, kuna ma mdogo, bibi n.k wanaweza wakakulea kama mama. Lakini sio kila mwanaume ana ubaba ndani yake; so ukibahatika kumpata mwanaume mwenye ubaba halafu ukampoteza; aisee ni umepoteza haswa. Mwisho wa kunukuu.
Jamanu umejuaje Kama ninamatatizo??Una matatizo, na matatizo yako mimi tu ndie ninaeweza kuyamaliza!
Ombi
Babu yake, nikabidhi mjukuu wako ana matatizo mengi
Cc: Shimba Ya Buyenze
![]()
Mimi mama alikuwa anatoa maagizo kwamba ole wenu nikute mtoto analia😂.Ukikaa nyumbani lazima udeke , vitu vitamu vyote upewe wewe .
Nilitumbikia kwenye freezer na likajifunga hahaha hawakumwambia mama maana wangechezea kichapo ,walikuja kumwambia baada ya miaka kadhaa kupita .
Hakika umefaidi uziwandaMimi mama alikuwa anatoa maagizo kwamba ole wenu nikute mtoto analia.
Majuzi kati tu hapa nilipomaliza masomo,siku nimerudi nyumbani mama akasema tumtafutie mtoto kuku hata wawili,,ale..miaka yote aliyokuwa masomoni Mungu amemsaidia(walikuwa wanaona haiwezekani mimi kukaa mbali na nyumbani)
Baba akachinja kuku,mama akapika,anasema mtoto ale pekeyake..dada angu akasema"kwamba tumeanza kuchanganyikiwa tumuachie ale kuku wote pekeyake tunamuangalia tu"
.......
Hii favor sidhani kama nitakuja kuipata huko duniani.