Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
hahahahatafsida mkuu..
hahahahatafsida mkuu..
mkuu zile chupa ni za siku moja?
hahahaha ki kreti hicho bossKwanini Boss ….![]()
Mshkaji alikuwa vizuri sana!!!Ebwanaaa daaaa daaaaa.... Saigon mnyama mkaliii sanaaa.. Lizzy
View attachment 2080526
View attachment 2080528
Tulia acha tuliobaki mchezoni tuendeleee kuyachezahebu leta daily time-frame ya hii GBPUSD maana sina meta trader hapa..
Jamaa alikuwa na mtindo wake peke yake.. ukisikia tu unajua Saigon huyoMshkaji alikuwa vizuri sana!!!
haya mkuu..Tulia acha tuliobaki mchezoni tuendeleee kuyacheza
😁😁😁😁 tuendelee kulima tuhaya mkuu..
Next week naangalia pair zifutazazo na ndio nita zi trade GBPAUD, EURNZD, EURAUD na GBPNZDhaya mkuu..
Umenitafakarisha sana, asante kwa shuhuda hii kuna kitu nimekipata.Kuna kitu nilikuwa nawaandikia na Saint Anne hapa. Hakuna kitu kimenijenga na kunisaidia sana katika maisha yangu kama mahusiano mazuri na baba yangu. His love, care, attention, protection and everything he gave to me; vimenipa kujiamini, kujipenda, kujithamini na of coz kuwa na upendo mwingine sana kwa wengine.
Nilipata changamoto kidogo wakati naanza dating; i thought all men are just kike my father; so nilitegemea care, attention na makila kitu; ila slowly wakanifundisha kuwa wao sio baba zangu (msicheke). Na my greatest weakness ni kupenda attention; hiyo ni mpaka kesho kutwa. So kiugumuugumu nikaanza kupunguza madeko hadi ukimpata wa kukudekesha.
Ila katika yote; binti aliyelelewa kwa upendo na baba yake; ni binti anaye-value wanaume sana. Pamoja na vitu vizito vyote vilivyonipiga huko; sikuwahi kuwachukia wanaume wala kubeba uchungu juu yao wala kugive up kwenye mapenzi. Huwa naamini wanaume wazuri wapo wengi tu. So utakuwa mvumilivu hadi siku charming prince anapootokea
Binti aliyependwa na baba yake; anakuwa mvumilivu ila hawezi kusettle kwenye abusive relationship. Anajua nini maana ya kupendwa, so there is no way ataona sawa kukaa kwenye sehemu ambayo hapendwi na anaumizwa kimwili au kihisia. So sio rahisi kufa kisa ndoa.
Too bad nilikuja kukutana na a certain case ya sexual abuse kwa mabinti kadhaa; too bad wote walikuwa na dad issues. Karibu wote wana absentee fathers au wale waliobahatika kukaa nao, ni wale kina baba wa kutoa matumizi basi. Mabinti wa hivi wanakuwa vulnerable to sexual abuse; kuna watu wanaweza kuwa-manipulate wakijifanya wanawapenda lakini wanawatumia. Ni kama wana kiu ya kupendwa so wakikutana na manipulators, wanatake advantage. Mtu ambaye ameshaonyeshwa upendo wa kutosha huwezi kumdanganya tu na vi -i love you afu eti ukamtumia; they know and have seen what i love you means. Baba akiwepo, ukitugusa tu au ukitusumbua, tumeshaenda kusema; so hata kuwa abused si rahisi
Mama mchungaji wangu kuna siku alituambia " ni heri kumkosa mama kuliko baba". Kila mwanamke ana umama ndani yake; so ukimpoteza mama kuna aunt, kuna dada, kuna ma mdogo, bibi n.k wanaweza wakakulea kama mama. Lakini sio kila mwanaume ana ubaba ndani yake; so ukibahatika kumpata mwanaume mwenye ubaba halafu ukampoteza; aisee ni umepoteza haswa. Mwisho wa kunukuu.
Pole mno, kwa sisi wengine ambao hatukupata malezi ya mama na baba hatuwezi kujua unachozungumza.The same to my late father...despite all his weaknesses but he was the best dad to me.
Kuna muda tulikwaruzana,,,
Mimi pia ni mpenda attention,,,sasa kwa baba yangu ni kama nilifika penyewe
Nikikaa nikikumbuka matukio mazuri(mf mzuri graduation yangu ya form four mzee alivyoinuka na kunipigia makofi nikiwa napewa zawadi zangu..ukumbi mzima walijua yule ni baba yangu)
Amenifunza appreciation..
Alikuwa akianza kukusifia na kukuelezea mzee wangu ahhh
Unaweza kulia kwa furaha.
Katika malezi yangu sikuwahi kupigwa na baba yangu hata siku moja.
Basi huku kwenye mahusiano mambo yatakuwa magumu,,,napenda care mno aisee...jinsi nilivyokuwa napiga stori na mzee...sijui km nitapata tena mtu wa aina ile maishani.
Asante kwa hili, kumbe wanaume bado wanathaminika, kuna wakati thamani yetu ilikua haipo kila kitu ni mama tu.Umeandika vyema sana ,hongera kwa uandishi mzuri hivi .
Hakika upendo wa baba ni mkubwa sana kwa binti yake , natamani ningelelewa na baba muda wote ila hakuwezekana maana alienda kikazi mkoa akaja kurudi tayari nimefikia umri wa miaka 12 .
Hii ikatufanya tumuogope maana alkuwa mkali sana , ikatokea hadi tukajiweka mbali naye na kuwa watoto wa mama tu , ila Mungu huyu baadaye Mama akafariki , tulilalamika sana kwa nini mama hayupo lakini Mungu alikuwa na sababu kubwa na leo hii tumejua kuwa baba ni mtu peace sana .
Kiukweli bila upendo wa baba maisha hayaendi maana utaanza kutafuta upendo nje ambapo utakutana na watu wasiofaa , kitu kikubwa ambacho wazazi wanachotakiwa kufanya ni kuweka mawasiliano ya karibu na watoto .
Nipe location Shem darling niibuke hapo chap
Check PM uje chapNipe location Shem darling niibuke hapo chap

Wanaume mna thamani sana vile mnavyojitoa kwa familia zenu , mbarikiwe kwa kweli .Asante kwa hili, kumbe wanaume bado wanathaminika, kuna wakati thamani yetu ilikua haipo kila kitu ni mama tu.