Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,900
- 136,567
madhara au faida, au kudekezwa kumepungua na ulishazoea sasa unaisoma namba kigiriki..



wacha siwezi isoma namba mwaya
Wakunidekeza wapo
madhara au faida, au kudekezwa kumepungua na ulishazoea sasa unaisoma namba kigiriki..



wacha siwezi isoma namba mwaya
acha na mimi nijibembeleze sasa, hutaki nifaidi pia..wacha siwezi isoma namba mwaya
Wakunidekeza wapo
Wewe unajichoshaacha na mimi nijibembeleze sasa, hutaki nifaidi pia..



kwanini sasa!?...hebu ongeza nyama ukute najichosha kweli..Wewe unajichosha![]()
Onaomba kubembelezwakwanini sasa!?..

na inatakiwa!?..Onaomba kubembelezwa![]()
Asanteni kwa testimony zenu kuhusu nafasi ya baba kwa binti yake. Nitajitahidi kumpa muda mwanangu,hizi changamoto za maisha zinatuweka mbali nao sanaa. Hopefully sijachelewa, MUNGU atusaidie wanaume tuweze kupata muda na watoto na wake zetu na awasaidie wake zetu mtupunguzie maudhi mpaka tunazichukia nyumba zetu wenyewe.
Wacha nilale kwanza,na inatakiwa!?..

wewe lala tu kukitokea lolote utaona mrejesho..Wacha nilale kwanza,
NIPUNGUZE MASTRESS
Next time![]()
ukubwani? Kwani we bd mdg au bd mutoto?asante mzee wa lindoni ila hiyo situmii mimi supu ya samaki tu kwaajili ya faida za hapa na pale ukubwani..
tafsida mkuu..ukubwani? Kwani we bd mdg au bd mutoto?
Asanteni kwa testimony zenu kuhusu nafasi ya baba kwa binti yake. Nitajitahidi kumpa muda mwanangu,hizi changamoto za maisha zinatuweka mbali nao sanaa. Hopefully sijachelewa, MUNGU atusaidie wanaume tuweze kupata muda na watoto na wake zetu na awasaidie wake zetu mtupunguzie maudhi mpaka tunazichukia nyumba zetu wenyewe.
Busara zako mkuu Mama Mchungaji Heaven Sent Hivi umesema wewe ni first & last born umemaanisha huna mdogo wako mwenye busara kama zako?Kuna kitu nilikuwa nawaandikia na Saint Anne hapa. Hakuna kitu kimenijenga na kunisaidia sana katika maisha yangu kama mahusiano mazuri na baba yangu. His love, care, attention, protection and everything he gave to me; vimenipa kujiamini, kujipenda, kujithamini na of coz kuwa na upendo mwingine sana kwa wengine.
Nilipata changamoto kidogo wakati naanza dating; i thought all men are just kike my father; so nilitegemea care, attention na makila kitu; ila slowly wakanifundisha kuwa wao sio baba zangu (msicheke). Na my greatest weakness ni kupenda attention; hiyo ni mpaka kesho kutwa. So kiugumuugumu nikaanza kupunguza madeko hadi ukimpata wa kukudekesha.
Ila katika yote; binti aliyelelewa kwa upendo na baba yake; ni binti anaye-value wanaume sana. Pamoja na vitu vizito vyote vilivyonipiga huko; sikuwahi kuwachukia wanaume wala kubeba uchungu juu yao wala kugive up kwenye mapenzi. Huwa naamini wanaume wazuri wapo wengi tu. So utakuwa mvumilivu hadi siku charming prince anapootokea
Binti aliyependwa na baba yake; anakuwa mvumilivu ila hawezi kusettle kwenye abusive relationship. Anajua nini maana ya kupendwa, so there is no way ataona sawa kukaa kwenye sehemu ambayo hapendwi na anaumizwa kimwili au kihisia. So sio rahisi kufa kisa ndoa.
Too bad nilikuja kukutana na a certain case ya sexual abuse kwa mabinti kadhaa; too bad wote walikuwa na dad issues. Karibu wote wana absentee fathers au wale waliobahatika kukaa nao, ni wale kina baba wa kutoa matumizi basi. Mabinti wa hivi wanakuwa vulnerable to sexual abuse; kuna watu wanaweza kuwa-manipulate wakijifanya wanawapenda lakini wanawatumia. Ni kama wana kiu ya kupendwa so wakikutana na manipulators, wanatake advantage. Mtu ambaye ameshaonyeshwa upendo wa kutosha huwezi kumdanganya tu na vi -i love you afu eti ukamtumia; they know and have seen what i love you means. Baba akiwepo, ukitugusa tu au ukitusumbua, tumeshaenda kusema; so hata kuwa abused si rahisi
Mama mchungaji wangu kuna siku alituambia " ni heri kumkosa mama kuliko baba". Kila mwanamke ana umama ndani yake; so ukimpoteza mama kuna aunt, kuna dada, kuna ma mdogo, bibi n.k wanaweza wakakulea kama mama. Lakini sio kila mwanaume ana ubaba ndani yake; so ukibahatika kumpata mwanaume mwenye ubaba halafu ukampoteza; aisee ni umepoteza haswa. Mwisho wa kunukuu.
Kausha basi 😊😊Sasa hivi nimelala..nikiamka saa mbili usiku niangalie majina kbs madam
Ila kuna mmoja sijaona selfie yake kbs,sijui hata anafananaje maana yeye daily anapost maandiko na nyimbo za injili akishirikiana na ndugu yangu 9.8ms squared ..namzungumzia mama mchungaji Heaven Sent
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu inajaribiwa hiii..Busara zako mkuu Mama Mchungaji Heaven Sent Hivi umesema wewe ni first & last born umemaanisha huna mdogo wako mwenye busara kama zako?
we jamaa sielewi malengo yako ni unataka kunirudisha huku au, maana unaelewa jinsi gani candlestick ikishuka upande wako inavyopendeza..Mkuu inajaribiwa hiii.. View attachment 2080833
hebu leta daily time-frame ya hii GBPUSD maana sina meta trader hapa..Mkuu inajaribiwa hiii.. View attachment 2080833
Fathers, be your daughter’s first love and she’ll never settle for anything less."Asanteni kwa testimony zenu kuhusu nafasi ya baba kwa binti yake. Nitajitahidi kumpa muda mwanangu,hizi changamoto za maisha zinatuweka mbali nao sanaa. Hopefully sijachelewa, MUNGU atusaidie wanaume tuweze kupata muda na watoto na wake zetu na awasaidie wake zetu mtupunguzie maudhi mpaka tunazichukia nyumba zetu wenyewe.