Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nyumbani kwetu ndiyo kama last born, at the same time ndiyo kama first born. Kwa hiyo pa kudeka ninadeka, pa kugangamala ninagangamala kweli kweli.

Yaani ukae na baba HS na asikusimulie matendo makuu ya "kijana" wake HS aah wapi (alizoea kuniita kijana wake huko kwa wenzie; so nina udume na ujike pia). He loved me so so much, i was and still his pride.....
Aisee nimekuwa last born for twenty years + , sasa hivi nimewatoroka
ila it feels goods Mzee huwa ananitambulisha kama last born hadi sasa nina wadogo wawili kwa baba ..

Utulivu wapi , mie muongeaji noma hapa nyumbani mie ndo kama mkubwa wakati mimi ndo mdogo .
 
komaaa hapahapa Chimbo zuri ni hapa selfika hakuna mwingine. Uzuri hapa hata kuwaona unawaona in selfie mode! !!
Sasa hivi nimelala..nikiamka saa mbili usiku niangalie majina kbs madam

Ila kuna mmoja sijaona selfie yake kbs,sijui hata anafananaje maana yeye daily anapost maandiko na nyimbo za injili akishirikiana na ndugu yangu 9.8ms squared ..namzungumzia mama mchungaji Heaven Sent

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nyumbani kwetu ndiyo kama last born, at the same time ndiyo kama first born. Kwa hiyo pa kudeka ninadeka, pa kugangamala ninagangamala kweli kweli.

Yaani ukae na baba HS na asikusimulie matendo makuu ya "kijana" wake HS aah wapi (alizoea kuniita kijana wake huko kwa wenzie; so nina udume na ujike pia). He loved me so so much, i was and still his pride.....

Hakuna uhusiano mzuri kama wa baba na mtoto wa kike , ni pure love ..
Mungu awabariki wazazi wetu kwa kutulea na kutuonyesha upendo wa dhati .

Sikudeka kihivyo maana nililia kwenda boarding toka grade 3 nikawa mtoto wa bweni .
 
Back
Top Bottom