Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,968
- 8,104
hahaaha mkuu achana na hiyo habari vita hautoiweza shauri yako, kwani nimekwambia nimechoka..mkuu hkn tatizo kwa mm kuendeleza kijiti na wewe ukaishia hapa...hahahaha
hahaaha mkuu achana na hiyo habari vita hautoiweza shauri yako, kwani nimekwambia nimechoka..mkuu hkn tatizo kwa mm kuendeleza kijiti na wewe ukaishia hapa...hahahaha
hahahaha...mm mupiganaji wa musitu munene,vita naijua bien..hahaaha mkuu achana na hiyo habari vita hautoiweza shauri yako, kwani nimekwambia nimechoka..
Unakosaje wachumba wewe Japanese@Satoh Hirosh mbona mitaa imefurikaMimi Leo nalinda kijiwe hapa,Ila mkiamka mnielekeze jukwaa la kutafuta wachumba liko wapi nimechoka kung'atwa na mbu pekeyangu![]()
Saa nane usiku usingizi hauji..Upweke unanisumbuaView attachment 2080013
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nielekeze chimbo mkuu😅Unakosaje wachumba wewe Japanese@Satoh Hirosh mbona mitaa imefurika
🙄🙄🙄 kwani mie nimesema kapata nini jamaniiKha!!! Kapata nini tena mbona siwaelewiii???! Vijana mna hekaheka nyiee!!
![]()
komaaa hapahapa Chimbo zuri ni hapa selfika hakuna mwingine. Uzuri hapa hata kuwaona unawaona in selfie mode! 🚶🚶🚶🚶🚶🚶!!Nielekeze chimbo mkuu😅
mi mwenyewe niko msituni hapa, salama mkuu wangu kumekucha salama huko!?..hahahaha...mm mupiganaji wa musitu munene,vita naijua bien..
kwema lkn mkuu
hahahahaha...nimekulewa rafikikomaaa hapahapa Chimbo zuri ni hapa selfika hakuna mwingine. Uzuri hapa hata kuwaona unawaona in selfie mode! 🚶🚶🚶🚶🚶🚶!!
Hahaaa mimi second dada nina wadogo wawiliMdogo angu, na wewe ni last born?


hahaha...salama kbs mkuu tuko pamoja.we uko musitu ya dar, ukuye huku kwa musitu ya ituri uone mambo...mi mwenyewe niko msituni hapa, salama mkuu wangu kumekucha salama huko!?..
Mama mchungaji leo nina hivi.. napotea niingie kula madiniMadeko tu, naona ameibuka na last born mwingine jana. Mbombo ngafu
Mama mchungaji leo nina hivi.. napotea niingie kula madini
My Saint Anne
View attachment 2080284View attachment 2080285
Saint AnneAiee hazina yako ya "knowledge and understanding" ipo vizuri sana. Endelea kujilisha mema
Mama mchungaji leo nina hivi.. napotea niingie kula madini
My Saint Anne
View attachment 2080284View attachment 2080285




,,tena nilitangulia kuanza.MweeMadeko tu, naona ameibuka na last born mwingine jana. Mbombo ngafu


Vingi nafanyia marudio, huwa napenda kusoma kitabu hata mala tatu na zaidi.. kwa kurudia rudia.. sisomi kama gazeti 😁😁
Yaani mimi ni mzembe,jamaa unakata kitabu cha pili,mimi kilekile kimoja hata nusu sijafika,,tena nilitangulia kuanza.
Mweeeh!!Mdogo angu, na wewe ni last born?












