Aisee😂😂😂Aisee nimekuwa last born for twenty years + hasa hivi nimewatoroka ila it feels goods Mzee huwa ananitambulisha kama last born hadi sasa nina wadogo wawili kwa baba ..
Utulivu wapi , mie muongeaji noma hapa nyumbani mie ndo kama mkubwa wakati mimi ndo mdogo hapa nyumbani .
Ungeniambia mapema
Kiukweli hapa nyumbani mimi wananijua maana sitaki mambo ya kuonewa .Aisee
Ila uzuri wa malastborn hatupendi unyonge.
Saint Anne
Baada ya hapo Next week.. nakula nondo za pesa pesaa.. nitarudi baada ya kumaliza robo tatu ya hivi vitabu mlokole ninaependa pesaaa na rahaaaaView attachment 2080302View attachment 2080303View attachment 2080304View attachment 2080305
Kabisa yaani👏Kiukweli hapa nyumbani mimi wananijua maana sitaki mambo ya kuonewa .
Tunaishi kama marafiki tu
utaelewa mdogo mdogo..Eeh!
Wewe last born wa mwendokasi
bado siku 29 za kuvumilia, niache..Pole Sana,,,,,,,,imetoka Hiiyo![]()
Kwamba hujanielewa?Mweeeh!!
Kwahiyo swali lako linalenga nini![]()
Salama kabisa ChiefNiambie mkuu salama
Kuonewa mwisho ukiwa mdogo tu baada ya hapo hakuna kuonewa .Kabisa yaani
Tulizaliwa mwishoni halafu tukubali kuonewa! Hapana.
Eeh!
Maisha yana magap..mimi ndio nasoma kwa mara ya kwanza.
Tunazijua tabia zenu
Kwahiyo kila atakayedeka mnamuingiza kwenye kundi letu!![]()
Halafu mnasema mimi nadeka!
Hamuwajui wadekaji nyie![]()
Kabisa yaaniKuonewa mwisho ukiwa mdogo tu baada ya hapo hakuna kuonewa .
Waziwanda hoyee
Heee🥲
Nakuwaje katikati
Irrudiwe
Mimi sitaki.
Bora umenitia moyoHujachelewa na uzuri elimu haina mwisho. Afu wewe ulitaka uanze kusoma hivyo vitabu ukiwa bado unabeba kidumu na ufagio? Imagine mtu yupo 60s afu ndiyo anajifunza kuomba na kufunga; mweeeh atachoka sana.

MtuacheHata mimi ni mdekaji ila nyinyi mmezidi
