Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,584
Hizi indices ni noma asee. Huwa zinamwaga ugiligili na Mara nyingi huwa zinaelekea upande mmoja zote s&p, djia, dax30, Nikkei n.k Ila account iwe umeshiba haswaaKashaija72
Kazakh destroyer
Manajua hii kitu namna inavyo work? Kama mkifanikiwa kujua hii namna inavyo move.. ni [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2080539