Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Eeh!Vingi nafanyia marudio, huwa napenda kusoma kitabu hata mala tatu na zaidi.. kwa kurudia rudia.. sisomi kama gazeti [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wewe ni last born kwenu?
Amefungwa ngapi mkuu?Livepool lazima afungwe 2 wekeni picha.
Halafu mnasema mimi nadeka!Si umemuona hapo anatususia watu wazima hadi tumbembeleze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlete demu wako, atakuja kukusilimia na mbaya zaidi 100%, hatokurudia asee tenaaa.
Safi
Analeta madharauuuu.. ππππ, tunakula kila aina chakulaaa.. angejua hajui πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heeeπ₯²
Majibu yako unayajua mwenyeweπ€£π€£π€£Analeta madharauuuu.. ππππ, tunakula kila aina chakulaaa.. angejua hajui πππ
Mmmmmmmh
Hahaha....Eti raha ya horsepower kubwa ivute mzigo wa maana[emoji3]kwani unadhani kwenye picha sijaona!? unadhani picha za wanafunzi sizioni eti!? raha ya horsepower kubwa ivute mzigo wa maana sasa nianze kuhangaika na watu wa miaka 16 wa nini....
please nifungulie nikusalimie tu salamu tuuu..
Anachezea motooo huyooMajibu yako unayajua mwenyeweπ€£π€£π€£
Wa kishua unakula vitu vitamu[emoji39]Anachezea motooo huyooView attachment 2080510.. karibu chai [emoji39][emoji39]
It has nothing to do with his looks....Siwezi kuwa mention wote mkuu..Saigon dah jamaa anajua sn Yule
Fid q mwonekano unamkost Kwa wadada so sijashangaa kutomkubali..Ila kichwa take imejaa madini sn
Kuna dogo anaitwa con boy [emoji91]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Muambie ISO M.CodD akupe lift uje dodoma πππWa kishua unakula vitu vitamu[emoji39]
Ukipiga reverse kutoka Chit Chat utafika mtaa wa JF Social Forums, ukiingia kwenye huo mtaa achana na kona ya kwanza ya Urembo, pita Jamii, pita Celebrities then ingia kona ya Mahusiano. Nyumba ya kwanza kabisa kwenye hiyo kona ya Mahusiano ndo kwenyewe!Nielekeze njia ya kufika huko basiπ
Ebwanaaa daaaa daaaaa.... Saigon mnyama mkaliii sanaaa.. LizzySiwezi kuwa mention wote mkuu..Saigon dah jamaa anajua sn Yule
Fid q mwonekano unamkost Kwa wadada so sijashangaa kutomkubali..Ila kichwa take imejaa madini sn
Kuna dogo anaitwa con boy [emoji91]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app