Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Yupo Mafinga.
Wewe kwanini uliniacha?
Yupo Mafinga.
kamata shabiby hapo chaaap usiku unakuwa umefikaYupo Mafinga.
Wewe kwanini uliniacha?
Nakuja na ABC ole nisikukutekamata shabiby hapo chaaap usiku unakuwa umefika

Niende wapii mie.. dodoma nimefika😁😁😁Nakuja na ABC ole nisikukute![]()
dah umenisagia kunguni live live..Ugombezwe tu na mabao ya shavuni uyapate![]()
Jana nilikuwa kwenye coaster along Kyela - Mbeya. Sehemu moja tukakuta dada kama miaka 20 au 23 kamsindikiza mdogo wake anarudi shule. Wakuu yule dada ni mzuri. Urefu kawaida, rangi poa kabisaa, umbo la kujichora, suruali ndani ya kikoi gademiti uwani pako vizuri, anavyomuaga mdogo wake nkasikia sauti tamu ya kike. Mapigo yalienda 160/dk. Asingekuwa roho mtakatifu kunikumbusha ningeshuka asee.komaaa hapahapa Chimbo zuri ni hapa selfika hakuna mwingine. Uzuri hapa hata kuwaona unawaona in selfie mode!!!
nakuombea maisha mema huko ituri niache na harakati zangu..hahaha...salama kbs mkuu tuko pamoja.we uko musitu ya dar, ukuye huku kwa musitu ya ituri uone mambo...
kwamba nimegeuka mfano wa kuigwa..
Kwahiyo kila atakayedeka mnamuingiza kwenye kundi letu!![]()
Kabisadah umenisagia kunguni live live..

Hahaaaaaa hivi vitabu inabidi viingie kwenye library yangu. Siku moja moja tujifunze namna ya kupata pesa huku tukimtegemea Mungu.Saint Anne
Baada ya hapo Next week.. nakula nondo za pesa pesaa.. nitarudi baada ya kumaliza robo tatu ya hivi vitabu mlokole ninaependa pesaaa na rahaaaaView attachment 2080302View attachment 2080303View attachment 2080304View attachment 2080305
haahah kumekucha salama mkuu T 1990 ELY sasa kweli unataka 3355 ivute ka kiroba ka mchele haiwezekani..Hahaha....Eti raha ya horsepower kubwa ivute mzigo wa maana
We jamaa bhana
Kwema lakini mkuu Kazakh destroyer
hii ni nini binary option!?..Kashaija72
Kazakh destroyer
Manajua hii kitu namna inavyo work? Kama mkifanikiwa kujua hii namna inavyo move.. ni 🔥🔥🔥View attachment 2080539
Ukipata pesa kwa kumtegemea Mungu, hata matumizi yake yanakuwa na adabu 😁😁😁😁😁...Hahaaaaaa hivi vitabu inabidi viingie kwenye library yangu. Siku moja moja tujifunze namna ya kupata pesa huku tukimtegemea Mungu.
VIX S&P 500hii ni nini binary option!?..
Hahaha....Jana nilikuwa kwenye coaster along Kyela - Mbeya. Sehemu moja tukakuta dada kama miaka 20 au 23 kamsindikiza mdogo wake anarudi shule. Wakuu yule dada ni mzuri. Urefu kawaida, rangi poa kabisaa, umbo la kujichora, suruali ndani ya kikoi gademiti uwani pako vizuri, anavyomuaga mdogo wake nkasikia sauti tamu ya kike. Mapigo yalienda 160/dk. Asingekuwa roho mtakatifu kunikumbusha ningeshuka asee.
Vijana Mambo matamu yapo kitaa.
mahondaw namuangalia tuu mpaka sahv hajaniambia hata nimeamkaje na anajua nimekesha hapa kweli!?..Kabisa![]()
ahaa huko sina idea mzee..VIX S&P 500