Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani mtu anamuhinga ada sijui kiwanja; lazima utafutwe msaada wa mtaalamu. Tena warogaji wa siku hizi ni masista duu hao
acha kabisaaa tuna rogwa sanaaa.. mtuvumilie asee.. hata mkiona akili zipo juu.. unarogwa Lindi, unarogwa mtwara, unalogwa sumbawanga.. tanga, kigomaa unafikiri kuna mtu hapo 😂😂😂
 
Na siku hizi michepuko ina roga kwelii.. kama unayo minne, ikikuroga yote kwisha kabisa 🤣🤣🤣
Kweli Mkuu, ila nikifanikiwa hili nitaanza kutumia mbinu yako na kuiboresha zaidi Mimi ndiyo nitaanza kuwapiga vibomu kuwa nenda unikopee Benki Kuna mzigo wa Ile biashara yangu x,y,z umekwama Bandarini nahitaji 6M nikautoe.

Nikifanya hivi mara mbili, 3 lazima wanipe talaka wao wenyewe 😂😂
 
Kwahiyo wadogo ni wanafunzi tu??? Mtukula yeyote aliekupita miaka ni mkubwa wako! 9.8ms squared Kuanzia kesho Naomba mniamkie kabisa
na aliekwambia nataka wadogo nani?! ujue nimefanya vetting ya kiwango cha special forces wa urusi af mambo ya umri hayakuhusu kwani we unajua umri wangu!? acha kujifanya mfanyakazi wa RITA basi nifungulie tusalimiane yaishe hujui hamu yangu ikiisha utakuwa umenisaidia..
 
Kweli Mkuu, ila nikifanikiwa hili nitaanza kutumia mbinu yako na kuiboresha zaidi Mimi ndiyo nitaanza kuwapiga vibomu kuwa nenda unikopee Benki Kuna mzigo wa Ile biashara yangu x,y,z umekwama Bandarini nahitaji 6M nikautoe.

Nikifanya hivi mara mbili, 3 lazima wanipe talaka wao wenyewe 😂😂
🤣🤣🤣 ndio dawa hiyo.. asubuhi unaamka, unatuma message moja kwa michepuko yote.. kama kumi unatuma message ya laki tano kwa kila mmoja
 
Back
Top Bottom