Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,482
Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji 🙆Daah kumbe maisha marahisi hivi jamani![]()
Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji 🙆Daah kumbe maisha marahisi hivi jamani![]()
Yaani wewe😂🙌😂🙌😂😂😂 mjengee kabisaa.. kuna kipindi michepuko inasaidia akili inakuwa faster sana kufikiri na kuona fursa mpya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nitamuambia namsubiri boss wangu.. siku hizi sinyoi ndevu na upaa na kile kipli pilii kamechachamaaaa..... lazima aamini tu😀😀😀
🤣😂😂😂😂 jioni hiii mwenzangu siku lazima iishe tu kwa furahaYaani wewe😂🙌😂🙌
MakiwendoKwamba umeapa kutokutana na member yoyote wa JF nje ya jukwaa?seme kweli
Kwa nini Warembo wanakupiga Dana dana Mzee? Mimi nipo Usukumani huku na jirani yangu T 1990 ELY karibu..
Sent using Jamii Forums mobile app








nitamuambia namsubiri boss wangu.. siku hizi sinyoi ndevu na upaa na kile kipli pilii kamechachamaaaa..... lazima aamini tu![]()
Hilo ni kweli kabisa, Nina ushuhuda nalo😂😂😂 mjengee kabisaa.. kuna kipindi michepuko inasaidia akili inakuwa faster sana kufikiri na kuona fursa mpya
Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji![]()


Hilo ni kweli kabisa, Nina ushuhuda nalo
Kinachoniuma nikiwa kwao sijutii kabisa hizi hela ninazotumia kuwapa ila nikiwa mbali kama hivi basi ndiyo akili zinanirudia na kuanza kuziwazia hela zangu![]()
Hivi mbona ile siku tumeonana ulikuwa huongei hivi?🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 jioni hiii mwenzangu siku lazima iishe tu kwa furaha
Namuonea huruma mke wake.Uje tukufanyie maombi khaaa
Niko tayari kuja hata Leo, nimechoka kuchunwa 😂Uje tukufanyie maombi khaaa
Umesahau kunitag😒🤦♀️Karibuni jamana kahawa ya usiku 😊😊😊😊View attachment 2079702
🥺🥺🥺Sikuji![]()
Namuonea huruma mke wake.
Na siku hizi michepuko ina roga kwelii.. kama unayo minne, ikikuroga yote kwisha kabisa 🤣🤣🤣Ndiyo maana nataka niende Kijijini wakanitapishe, huenda Kuna vitu wamenilisha. Hizi sio akili zangu kabisa Mama Mchungaji 🙆

Niko tayari kuja hata Leo, nimechoka kuchunwa![]()