Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,087
- 8,442
kwamba akinijua atayeyuka nae!?..Huyo hajakujua Kama unapenda kubembelezwa[emoji2440]
Haya sasa
kwamba akinijua atayeyuka nae!?..Huyo hajakujua Kama unapenda kubembelezwa[emoji2440]
Haya sasa
Utabaki mwenyewe[emoji23]kwamba akinijua atayeyuka nae!?..
halafu na wewe acha utabiri wako wa ajabu ajabu asubuhi hii, na akiyeyuka kesi itahamia kwako..Utabaki mwenyewe[emoji23]
Wacha nilale,nikiamka namshawishi akuache mwenyewe[emoji2440]halafu na wewe acha utabiri wako wa ajabu ajabu asubuhi hii, na akiyeyuka kesi itahamia kwako..
haahha huo utakuwa wivu sasa, ntakushitaki kwake shauri yako..Wacha nilale,nikiamka namshawishi akuache mwenyewe[emoji2440]
😊😊 mwaka wako asee.. mwenzangu umepata tayari eeeh! Bado mie tu9.8ms squared umeenda wapi uje ushuhudie hapa!? mwenzio bado 45% nakuja kusalimiwa mchana kweupee hapa ndo nnapomshukuru mwanzilishi wa JF..
hahaah tulia kwanza mkuu nisianze kushangilia wakati ndo kwanza dakika 20 ya mchezo..😊😊 mwaka wako asee.. mwenzangu umepata tayari eeeh! Bado mie tu
Mlete demu wako, atakuja kukusilimia na mbaya zaidi 100%, hatokurudia asee tenaaa.Alafu mkisemwa hamuwezi kupiga show unalialia tu.Sasa mwanaume kweli unakula kapile hizo?.Tutawapigia sana nyinyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siogopi,nitamshawishi tu,kama vipi nibembeleze hili nisimshawishi[emoji16]haahha huo utakuwa wivu sasa, ntakushitaki kwake shauri yako..
[emoji23][emoji23][emoji23]Mlete demu wako, atakuja kukusilimia na mbaya zaidi 100%, hatokurudia asee tenaaa.
haahahh kumbe na wewe unataka fursa muone, usitake kunipeperushia ndege wangu tena lala kabisa huko..Siogopi,nitamshawishi tu,kama vipi nibembeleze hili nisimshawishi[emoji16]
🙄🙄🙄.. Dah! Labda nirudi 😂😂Ndio maaana Antonia umemuacha [emoji28]
Niambie mkuu salamaKhaa![emoji1787][emoji1787]
[emoji34][emoji34]haahahh kumbe na wewe unataka fursa muone, usitake kunipeperushia ndege wangu tena lala kabisa huko..
Niko hapa mama mchungaji...Hadi nimemkumbuka Chakorii. Endelea kudeka toto njuri
mahondaw[emoji34][emoji34]
Anataka awekwe juu kileleni na HM🤣