Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Imenitokea mimi kupewa connection Na rafiki nikatoboa Na ndugu yangu niliyemwamini akanipiga chini.Wacheni Mungu aitwe Mungu.kwenye maisha yangu yote ya hapa duniania nitakuwa natoa Kwa wahitaji
Kweli ndugu wakati mwingine ni kama maadui fulani hivi, lakini maagizo ya Mungu ni kwamba usijitenge na mtu mwenye damu nawe.
 
Brod darling; mimi mahusiano ya kuishi kimachale yalishanishida; wakinigeuka basi ntayapokeaga hukohuko mbeleni. In the meantime; nimeamua kumwamini Mungu kwa ajili yao.

Unawajua wapendwa vizuri?
Wapendwa wengi wao ni wanafki Na wasengenyaji.nisishanbuliwe Na wapendwa humu ndani ninauhakika 💯 Na nilichokiandikA
 
na mimi ni muhitaji naomba usinisahau
Najua unajua ninachomaanisha wahitaji.ninamaisha ya kawaida mnooo lakini kuna watu tunamaisha ya dhiki kabisa hata chakula kununua hatuna huo uwezo.nimeishi kwenye maisha ya dhiki miaka mingi kidogo imepita so ninaelewa wahitaji wanahitaji faraja Na Msaada Kwa kiwango gani.

Vidole havilingani
 
Baada ya masaa mengi in prayer room.. jioni kama hii napata uji wa mchele..

Saint Anne Chakorii ...uniletee uji basiii
IMG_20220111_204053.jpg
 
Boss negative energy inavuta vitu vibaya always,usiangaike sanaa ya mabadiliko ya binadamu wewe timiza wajibu wako, somebody say karma is...... Unajua hakuna mwema dunia kiasi kwamba hakosei,ni vile tunajifunza namna ya kuishi na madhaifu ya wengine kama wengine pia wanavyojifunza kwetu.
Ila still duniani kuna watu wenye roho za dhahabu kiasi kwamba humkinai kamwe.
Mungu awabariki wote msio na roho ya korosho na wazidishie maradufu kama alivyombariki mtumishi wake Suleiman.
Hanifer Mungu azidi kukutunza mama 🥰🥰🥰
 
Back
Top Bottom