Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
🤣🤣🤣🤣Nakukubalia kabisa mkuu, ukipata rafiki wa kweli utafurahia. Nakumbuka nilinunua mzigo wa mchongo nikawekwa ndani, nikampigia simu jamaa yangu, ndani ya dk 10 yupo polisi na keshafanya yake, naitwa tu kazi imeisha natoka.
Ila ukipata snitches utafurahia ya dunia.
Kimchongo ukatoka ndani😁







.