ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,444
- 119,040
Malasti boni tuna heshima yetu tafadhali!!Acheni ujingatutaanza kuwapiga sasa.

Malasti boni tuna heshima yetu tafadhali!!Acheni ujingatutaanza kuwapiga sasa.

Hapo ukijaribu kuleta ugomvi basi unakuwa umempa kichaa rungu.Acheni ujinga 😂 tutaanza kuwapiga sasa.
Hahaha kwani Anne yupoje ?Hahaha, eti noma..kumbe na wewe una vimaneno, nilidhani upo kama Anne.
Na baby wako unamuita kaka? Manake lazima kakuzidi umri lazima...Huyu ni kaka yangu jamani.
Nishazoea kuita hivyo mtu aliyenizidi miaka .
ChaaaaHuyu ni kaka yangu jamani.
Nishazoea kuita hivyo mtu aliyenizidi miaka .
Hili swali ngoja nkuletee mtumishi wa Bwana alijibu🤣Hahaha kwani Anne yupoje ?
😂🙌😂🙌Na baby wako unamuita kaka? Manake lazima kakuzidi umri lazima...
Hapana simuiti kaka lazima unogeshe mahaba .Na baby wako unamuita kaka? Manake lazima kakuzidi umri lazima...
Boss nina marafiki wachache ambao hata wakisikia simu yangu saa 7 usiku watapokea na kunisikiliza. Changamoto ya leo binadamu tunaviziana,tunaishi maisha ya kuigiza sanaa,kiasi cha mwingine kukukinai mapema.Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, ipo siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza chakula cha kula maana "kikulacho kinguoni mwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!
Haya maneno ya kweli?
Kaka zake ni waliozaliwa tumbo moja😁uko vizuri sana, atoe kaka fasta tujue moja...hahaha!!
Sijui hizo mbinu dearChaaaa
Wewe dada mbinu za kivita za kuchinjia mtu baharini unazijua??
Acha basi![]()
.Ooh okayAnne anajiita mtakatifu![]()
Akijibu unitagHili swali ngoja nkuletee mtumishi wa Bwana alijibu![]()
Anakuja.Akijibu unitag
Nakukubalia kabisa mkuu, ukipata rafiki wa kweli utafurahia. Nakumbuka nilinunua mzigo wa mchongo nikawekwa ndani, nikampigia simu jamaa yangu, ndani ya dk 10 yupo polisi na keshafanya yake, naitwa tu kazi imeisha natoka.Boss nina marafiki wachache ambao hata wakisikia simu yangu saa 7 usiku watapokea na kunisikiliza. Changamoto ya leo binadamu tunaviziana,tunaishi maisha ya kuigiza sanaa,kiasi cha mwingine kukukinai mapema.
Kama unataka marafiki wema,kuwa mwema,ishi vyema na kwa uhalisia.
Mwangalie David wakati Samuel anaenda kumpaka mafuta,si unakumbuka ilivyowauma ndugu zake,je Nathaniel ni kwa kiasi gani alimsaidia?!
Anyway,kupanga ni kuchagua.
Boss nina marafiki wachache ambao hata wakisikia simu yangu saa 7 usiku watapokea na kunisikiliza. Changamoto ya leo binadamu tunaviziana,tunaishi maisha ya kuigiza sanaa,kiasi cha mwingine kukukinai mapema.
Kama unataka marafiki wema,kuwa mwema,ishi vyema na kwa uhalisia.
Mwangalie David wakati Samuel anaenda kumpaka mafuta,si unakumbuka ilivyowauma ndugu zake,je Nathaniel ni kwa kiasi gani alimsaidia?!
Anyway,kupanga ni kuchagua.
Bado usiseme mmefika huko, safari bado ni ndefu sana. Shukuru Mungu tu hadi saivi mnaenda sawa, siku yakiharibika.....sema nyie mnaweza kuwa wapendwa katika KristoNakuunga mkono. Wengine tumeshakuwa familia sasa; tumepitia mengi ya huzuni na ya furaha kwa pamoja. Mungu atusaidie tuzeeke pamoja.

hilo linasaidia kidogoBado usiseme mmefika huko, safari bado ni ndefu sana. Shukuru Mungu tu hadi saivi mnaenda sawa, siku yakiharibika.....sema nyie mnaweza kuwa wapendwa katika Kristohilo linasaidia kidogo
Hadi mimi wa Mwakaleli nakushinda?Sijui hizo mbinu dear
Mie kashamba balaa.