T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
😀😀😀😀
NakukumbushaBaada ya masaa mengi in prayer room.. jioni kama hii napata uji wa mchele..
Saint Anne Chakorii ...uniletee uji basiiiView attachment 2077348
Jumatano ni leo au kesho 😊😊Nakukumbusha
View attachment 2077390
rafiki cjaona ukitupia selfie za 2022Kabisa yani Mungu aendelee kukutia nguvu uwe kijana mwema ivoivo leo Kesho nahata milele!🙏
We mjeda Umezeeka sikuhizi huoni huoni eeh!!???🤣🤣😜😜 haya dakika sifuri natuma 😳rafiki cjaona ukitupia selfie za 2022
Amen.Na ikawe kama unenavyoIngawa nilikua natania, lakini ujumbe wako nimezipenda, binadamu pamoja na mengi tunayohitaji lakini faraja ni ya muhimu mno, bwana yesu wakati ana anza utumishi wake alijitambulisha kama aliyekuja kuwaponya waliovunjiwa moyo yaani kuwaoa faraja wenye huzuni.
Nakuombea ukafanikiwe kutekeleza azma yako hio.
Usinichambe mama mchungaji.Ila upendwa wako wewe unaonekana mpka kwenye mwandiko🤣🤣Na mimi ni mpendwa ujue, unataka nikuchambe? Unakijua kichambo cha mama Mchungaji?
On a serious note; wapendwa ni watu wa kawaida tu kama watu wengine. Wapo ambao wanajiona wao ni watakatifu kwa sababu ya makanisa wanayoabudu; na wapo ambao sisi tunawaona wanajifanya ni watakatifu kwa sababu tu lifestyle yao ni kwenda kanisani mara nyingi/ kwa sababu wanasali kanisa fulani. But wote ni binadamu ambao tunapambana na jambo moja au lingine. Kuna watu wanakimbilia makanisani kwa sababu kuna dhambi ambazo wamejitahidi kupambana nazo kwa akili zao wakaona hawawezi wenyewe; bora kusurrender kwa Sir God. Kuna watu ambao wewe unaweza ukawaona "wamesimama vizuri na Mungu"; hadi ukajiona wewe ni mchafu mbele yao; but wakija kukuelezea struggles zao za dhambi unajikuta unajiona malaika kwa muda. So kanisani ni mahali sahihi sana kwa sisi wenye dhambi.
"There is none righteous, no, not one "(Romans 3:10 NKJV). No one is immune to sin.........
tuma rafiki ,nijionee uumbaji na rangi ya mtumeWe mjeda Umezeeka sikuhizi huoni huoni eeh!!???🤣🤣😜😜 haya dakika sifuri natuma 😳
NitajitahidUsikae nao mbali moja kwa moja, haitakua tofauti na kuhukumu au kulipa kisasi, kitu asichopenda Mungu.



Usinichambe mama mchungaji.Ila upendwa wako wewe unaonekana mpka kwenye mwandiko
Nashukuru umezungumzia makundi yote mawili.Ila wapo
Nimeselfika ..mkuutuma rafiki ,nijionee uumbaji na rangi ya mtume



wewe hujawahi hata kuselfie hata mti tu hujawahi.. ..Asali hio tabora hapo!!

tupia nyingine rafiki
Mbona haifunguki pichaaa 😩😩😩
Wanaotuumiza ni wale tunaowaamini sana, huwezi kumwamini mtu kama hujamfanya kuwa rafiki. Unamwamini hadi kumkopesha milioni kadhaa na kuamini zitarudi...au unampa na kusahau kama ulimpa 500k atatue mambo yake.Usiogope kuwa jua watu ndugu yangu.saa nyingine jifanye unatatizo halafu mwambie(kumtega)majibu Yake utajua hapa ninamtu au mzigo au snitch.njia za kuwajua ni nyingi Kama kweli Uko serious unataka kuchuja kupata marafiki.mingine yanaruhusiwa kutokea Kwa sababu.si kila mtu ni mbaya Na snitch
Nitakuja kwenye harusi ya Saint AnneTeh njoo unikute huku nje ya maandishi![]()
Uko vzrNimeselfika ..mkuuwewe hujawahi hata kuselfie hata mti tu hujawahi.. ..Asali hio tabora hapo!!
View attachment 2077402