Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Ya kilevi kabisaaBlackk mu HB kabisa!
Ya kilevi kabisaaBlackk mu HB kabisa!
Yaniiiii .. nahesabugi dakika tu kivuko kiwahi kufika!Don worry my dear. Have faith
Hamna sura ya kitakatifu kabisa!🤣Ya kilevi kabisaa
Mimi hua situmii pombe humu natania na kufurahisha genge tu mama mtumishi.... Mzigua90 shahidiSura yako haiendani na bia![]()

Hahahahha niokokee tu sasaHamna sura ya kitakatifu kabisa!![]()
Gauni la kitenge






au avae satini.Niko Dom sipajui,sijawahi ht kufika yaani Mimi ni sijui nikoje!naweza kaa mpk mwaka na nisipajue!!Nikiona kivuka nakumbuka msiba wa Mwendazake..RIPWana sengerema nawasalimu kwa jina la selfika!!View attachment 2077252
Kabisa..si kuna mahala humu niliona ulisema kuwa umeacha pombe??Hahahahha niokokee tu sasa
Nilikua nimelewaaKabisa..si kuna mahala humu niliona ulisema kuwa umeacha pombe??
Hii ilikuwa mapema leo asubuhi, hope ulifika salamaMbele kabisa kushoto..from Mwanza to kataviView attachment 2077276
Sawa sawa, uwe na mapumziko mema hapo ulipoThanks God I have arrived safely!!Nilishukia hapa....
Nasasa nimejiachia tu!!View attachment 2077281
Angekuwepo mwamba wangekuwa washamaliza.Yaniiiii! Mimi nilimkumbuka zaidi nilivoona hilo daraja.. saivi wachina wanajenga kwa kurelax sana wakati enzi hizo ilikua usiku na mchana hakuna kulala!! View attachment 2077279
Na sisi tulijua tu umelewa tukakusameheNilikua nimelewaa

Shukrani sana mkuu!Sawa sawa, uwe na mapumziko mema hapo ulipo
Kabisa yani!Angekuwepo mwamba wangekuwa washamaliza.
Ewaa.au avae satini.Niko Dom sipajui,sijawahi ht kufika yaani Mimi ni sijui nikoje!naweza kaa mpk mwaka na nisipajue!!
Eti eeh!!?Mimi hua situmii pombe humu natania na kufurahisha genge tu mama mtumishi.... Mzigua90 shahidi![]()
Kwa kweliNaogopa sana kuvuka majini kwa chombo chochote kile!View attachment 2077260