Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Casio F 91W aka Obama watch

20211229_142633.jpg
 
Kwa Ke, kipensi kile hakikua na ishu, ndio maana nikasema kua alikivaa mwanaume (if you know you know). Ke wengi tu huvaa kama ulichovaa wewe jana na hawasumbuliwi. Ila pia isiwe too much.

Hata hivyo mimi sio reference nzuri sana ya maeneo ya namna hii. Niliku-poke kidogo tuu kukuhakikishia kua pestana sio kwa aina yako, ila ukienda hawafukuzi, wakifungua usisite, ikiwa ndio chaguo lako.
Aahh Pestana siyo chaguo langu sema basi tu nilikuwaga naenda sababu ya company. Kiwanja kimejificha sana kile mie napenda viwanja ambavyo viko mjini tena barabarani kabisa kama Bambalaga hivyo vinakuwaga hata kukabwa siyo rahisi.
 
Matron hata wewe unakabika kweli..
Kweli wahuni wajasiri sana.

Btw, karibu revola hapa, tunapunga upepo kidogo
 
Back
Top Bottom