ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,481
- 126,741
Selfika basi, achana na hizi mambo!!Hebu mjaribu kwa kumwita uone kama hatakuja.
Selfika basi, achana na hizi mambo!!Hebu mjaribu kwa kumwita uone kama hatakuja.
Nimeshaselfika leo,Selfika basi, achana na hizi mambo!!
Ulokole wangu si unajua ulipo[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshaselfika leo,
Unataka nirudie tena???
Kwahiyo kukupamba kote kule jana kuwa umekuwa mlokole leo hutaki tena!
Basi tuijadili asenali.
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Ulokole wangu si unajua ulipo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mrembo yupi, Tinsley? Huyu alishanikataa wazi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupia basi kile kidevu..
Huenda yule mrembo akaelewa,,,ujue hajakuona ndo maana amekaza ubongo[emoji16]
Wacha weeeee.. 😊😊😊Mimi nilishakuelewa sana,basi tu tunajitoa ufahamu,tunakuchezea🤣😂.
Ukweli upo wazi,huko mahala si salama sana kwa afya za Kiroho.
awwwweeJamani, mawazo yapi tena? Mbona mawazo yangu ni mema sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Akiona tu kile kidevu analainika huyoMrembo yupi, Tinsley? Huyu alishanikataa wazi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] alishawekaga picha humu kumbe .Akiona tu kile kidevu analainika huyo
[emoji16] Kwa Ke, kipensi kile hakikua na ishu, ndio maana nikasema kua alikivaa mwanaume (if you know you know). Ke wengi tu huvaa kama ulichovaa wewe jana na hawasumbuliwi. Ila pia isiwe too much.Hahaa kumbe vipensi hawaruhusu bora umeniambia mapema maana nilikuwa na mpango siku niende nimetinga pensi. Enhe kwahiyo niambie ni mavazi gani ambayo ukivaa hawakuzingui.
Toa hiyo 'kaka'[emoji23][emoji23][emoji23] alishawekaga picha humu kumbe .
Kaka Eli tupia kapicha tuone na sisi
Niko poa rafiki!Wapo wengi tu ,sema hujawajua bado .
Habari za leo rafiki ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uko vizuri sana, atoe kaka fasta tujue moja...hahaha!!Toa hiyo 'kaka'
Atatupia
Huyu ni kaka yangu jamani [emoji23][emoji23].Toa hiyo 'kaka'
Atatupia
Aisee noma [emoji1787]Niko poa rafiki!
Hao wengi tuwaache huko tumalizane mimi na wewe[emoji23]
Acheni ujinga 😂 tutaanza kuwapiga sasa.Tuna matatizo,attention seeker.
Sasa imagine tumekutana wote tunataka haki extra,,,last born tunajiona watu na nusu yaani.
Hahaha, eti noma..kumbe na wewe una vimaneno, nilidhani upo kama Anne.Aisee noma [emoji1787]