Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Linanikatalia....njoo unisaidie kulipunguza 😁loving the background. Btw, tulikubaliana size ya hilo dude usoni lipungue![]()
Linanikatalia....njoo unisaidie kulipunguza 😁loving the background. Btw, tulikubaliana size ya hilo dude usoni lipungue![]()
Mwenyewe wamenichosha....ila nimecheki na cousin yangu kaniambia 1k napanda na kurudi 😄😄Hiyo rate mbona kama ndefu sanaalmost 3K Usd
.
Linanikatalia....njoo unisaidie kulipunguza![]()

.Mwenyewe wamenichosha....ila nimecheki na cousin yangu kaniambia 1k napanda na kurudi![]()
.😄😄😄😄thanks, I have taken note of it, ... najua xmas ipo njiani 🙂
I will have some xmas gifts , so nitakuja kwa style ya Santa Claus 🤣🤣🤣, i know you never met Santa Claus before...
mtakuwa super excited, then nitapiga hapo story kupoteza muda ili nisubiri mahanjumati 🤣🤣🤣vingine unifungie... najua kwenye jiko upo byee!!, labda mnifukuze tu🤣🤣🤣
Ndo raha ya kupanda mlima sasa...shouldn't be too easy!🙂Ule mlima ban unaweza kujiona uko poa ukifika tu juu pumzi inakata
Location tu??? Mbòna tayari 😏Napenda sana offer kama hizi, nipe location please nije nifanye yangu.
Kweli mlevi ni mlevi tu

Nasubiri kukomeshwa na makopaNshatafuta location twende vacation tujichimbie kiaina
Tupost makopa passion juice mango passion tukomeshe kina Saint Anne
You give me temptation mwendo wako motion
Kijungu ka black chyna
Unapendeza bila fashion you're my perfection
Wala huhitaji designer.....hahahaha

thanks for the reminder, I will do the needful accordingly... sipo tayari kukosa hilo pilau 🙂 uliopika mwenyewe...😄😄😄😄
Hivyo umekataa ku-do the needful na ujio wako nshaujua hunikuti ng'o!!!😁😁 Santa akifika aache zawadi ntazikuta Jan nikirudi 🙂🙂 Na ulete za kutosha 🤗
But if you are good....utakuta pilau nlopika mwenyewe so amua unataka kuni-suprise au kuwa suprised 😉😉😁😁
Kweli mlevi ni mlevi tu
Yaani hadi kwenye bus unakunywa.
Nimecheka sana.



Hii dizaini Kama sangu hivi


We jamaa jipige kifuani sema mimi ni mlevi








Halafu upo mjini kimya kimya kama kawaida yakoNasubiri kukomeshwa na makopa![]()
Ndiyo mkuu.Hii dizaini Kama sangu hivi![]()

Nipo kijijini bossHalafu upo mjini kimya kimya kama kawaida yako

Wise decision 🤗thanks for the reminder, I will do the needful accordingly... sipo tayari kukosa hilo pilau 🙂 uliopika mwenyewe...
Nije toka mbali halafu nikute haupo, nikose na mahanjumati, asee, honestly that will bring me to the edge of tears...😄😄,
Umeacha pombe???tbt wiki moja iliyopita kabla sijaacha pombeView attachment 1965669


