Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo mfanye sasa mkutane mahali fulani kuomba; msisahau na kufanya duet ya worship moja amazing [emoji188][emoji188][emoji188]
🙄🙄🙄 sijuagi kuomba na mtu.. sehemu kubwa ya maombi yangu ni silence prayer.. na maombi ya meditation.. na kuhitaji utulivuuu tuuu.. kukiwa na combinega naweza anzisha story tu 😂😂😂
 
Taratibu ndiyo mwendo. Sasa hivi si unaona unaflow tu?[emoji38][emoji38][emoji38]
Naflow wapi🤣😂🤣
Sema tu naishukuru ile shule,tulianza form 1 na Bible knowledge ni lazima,upende usipende.
Hapo wenzangu na mimi wa shule za vidumu na mfagio tulipoteana sana..kiingereza cha kawaida chenga,,tunapigwa tena na cha Biblia😂🙌😂🙌
 
Mnakwenda tu mahali penu, then mkifika kila mtu anaendelea na style yake ya kuomba. Sio lazima muwe na muongozo wa kuomba. Au ukimuona jirani yako pembeni inakupunguzia concentration? [emoji19][emoji19]
[emoji849][emoji849][emoji849] sijuagi kuomba na mtu.. sehemu kubwa ya maombi yangu ni silence prayer.. na maombi ya meditation.. na kuhitaji utulivuuu tuuu.. kukiwa na combinega naweza anzisha story tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa em tuacheni wa vidumu na mifagio khaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Naflow wapi[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sema tu naishukuru ile shule,tulianza form 1 na Bible knowledge ni lazima,upende usipende.
Hapo wenzangu na mimi wa shule za vidumu na mfagio tulipoteana sana..kiingereza cha kawaida chengs,,tunapigwa tena na cha Biblia[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom