Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Gubichwa hugooo[emoji57][emoji57]Waniache kabisa yaani.
Hawajui tulikotoka
Gubichwa hugooo[emoji57][emoji57]Waniache kabisa yaani.
Hawajui tulikotoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mchungaji wa mjini
Tulikotoka ni mbali😂😂😂😂😂😂😂Gubichwa hugooo[emoji57][emoji57]
Sema lile kanisa lenu kwa nilivyoliona siipatii picha praise an worship ilivyo moto yaani😍,,i wish nihudhurie siku hata moja.Teh waumini wangu lazima wawe wamepinda yaani
Vipo aisee ..
Nikienda Moro tena nikachukue
Hahaha......Haya bhana
Wewe Na huyo mwenye kukutetea ndo wakishua sisi mtuache tusumbue mtaa[emoji1787][emoji1787]
KaoneSalamu zimefika best
Ni kakorofi sana hako
Sawa Ng'wanikeWabeja ssna
Wewe msukuma wa kienyeji[emoji16]
Jitahidi tu upunguze kuendesha watu maana tabia ikikomaa itakuja kukusumbua baadae.katika maisha ya mahusiano.
[emoji1787][emoji1787]ni shida
😂😂😂😂😂😂😂Wala, kaache tu. Katakuja kutusimulia hapa na machozi (God forbid)
Sijui nakuja lini kukusalimia tuselfike🙂Kaone
Mmmmmmmmh mmmmmh usitake kusimuliwa, ntakuibia ka-clip siku moja. Nitakualika mkesha mmoja (hapa nipo mwenyewe nimejikuta nimeshtua kidogo)Sema lile kanisa lenu kwa nilivyoliona siipatii picha praise an worship ilivyo moto yaani[emoji7],,i wish nihudhurie siku hata moja.
Kaone
Utwundu😂😂😂😂Sijaona picha, ni tunini?
Mweee tuone😍Mmmmmmmmh mmmmmh usitake kusimuliwa, ntakuibia ka-clip siku moja. (Hapa nipo mwenyewe nimejikuta nimeshtua kidogo)
Utwundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vile vioda kwa kuwekea funguo.Mmh kapicha?