Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Ooh kumbe hivyo
Ni vile vioda kwa kuwekea funguo.
Vinatengenezwa na mti fulani hivi,vinaandikwa jina na maneno mazuri mazuri ya kupamba jina.
Vilivuma sana miaka ya nyuma .