Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Niliweka order nikaweka maneno yangu halafu sikwenda kukichukua dahNikipita nitatafuta aisee
.Niliweka order nikaweka maneno yangu halafu sikwenda kukichukua dahNikipita nitatafuta aisee
.Jitahidi tu upunguze kuendesha watu maana tabia ikikomaa itakuja kukusumbua baadae.katika maisha ya mahusiano.Dah yaani umenichekesha,,jana mama na dada wanaingia chumbani kwangu,wakaingia haraka haraka wakafunga mlango..nikaanza kucheka.
Dada akawa anacheka huku anasema yaani hadi chumbani tunaingia kwa hesabu tushajitune😂maana tunajua tukiacha mlango wazi hapa mbu wakaingia mambo yatakuwa si mambo🤣mziki wangu🤣😂
Eti kitoto kidogo cha juzi unataka kutuendesha watu wazima🤣🤣🤣
Achana Na huyo Carlos.Jamani jamani.. unamjua carlos jambazi wa kwenye movie ndio tunaendana nae.. nakuchekea huku nakuchinjaaa 😂😂😂😂😂
Natunza huu mwandikoNgoja kesho kutwa kama hivi yaanin😁😁😁
NimeitunzaNgoja kesho kutwa kama hivi yaanin😁😁😁
Natunza huu mwandiko
Weee usiniambieTunajua kupenda na kudekezaaa 😁😁😁
Ndio nakutafutia Dr hapa 😂😂😂.. mgonjwa gani mtataaaAchana Na huyo Carlos.
Tunazungumzia habari ya ugonjwa wangu
Huyo HM ndo nani jamaniSema HM mpole sana yaani hadi namuogopa.
Jitahidi tu upunguze kuendesha watu maana tabia ikikomaa itakuja kukusumbua baadae.katika maisha ya mahusiano.
ni shida



..ila huwezi amini kuna mtu alitaka kuniendesha.Ngoja na mie niweke reminder 😁😁😁NimeitunzaView attachment 2075693
Uliyetunza mwandiko wakeHuyo HM ndo nani jamani
Ananiamini binti yakedaddy yako asijue 😧😧😧
😊😊😊 ukideka dekezwaaa.. wasikutishe, wanakuonea wivu tuuu
Wala siendeshi watu..ila huwezi amini kuna mtu alitaka kuniendesha.
Nyumbani huwa wanapenda kunitania.
Mkuu nipe location aseeUliyetunza mwandiko wake
Eheee naona unaleta mambo ya machinjano hapa🤣🤣Ndio nakutafutia Dr hapa 😂😂😂.. mgonjwa gani mtataaa
Kuna vile vinavyokuwa na maneno tayari.Niliweka order nikaweka maneno yangu halafu sikwenda kukichukua dah.
Fanya chap tu hakuna namnaNgoja na mie niweke reminder 😁😁😁
BahiMkuu nipe location asee
Kumbe unafuatilia kimya kimya ee👊🏿👊🏿👊🏿Uliyetunza mwandiko wake