Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Basi najiona nani sijui🤣🤣🤣Tushamuacha kilastboni chako
Basi najiona nani sijui🤣🤣🤣Tushamuacha kilastboni chako
Wewe Na huyo mwenye kukutetea ndo wakishua sisi mtuache tusumbue mtaa🤣🤣Na alivyo mpole sasa uwiii🤗
Na ile sauti yake ya kubembeleza jamani😍
Acheni kabisa.
Na hela anayo,
Watoto wa kishua hawanaga ulimbukeni kabisa..ila hawa wenzangu namimi sasa waliookota miamia ukubwani yesuuuu.
😧😧😧😧😧.. migawaha ya watu wa chini kabisaa hii hakuna cha ukishua wala babu yale na ukishuwaMarrybrown ndo wapi tena...hizo sehemu za kishua hata sizijuagi ujue
Na mtaa umekugomea kuusumbua sasa 😂😂😂Wewe Na huyo mwenye kukutetea ndo wakishua sisi mtuache tusumbue mtaa🤣🤣
Wewe siyo gaidi.Watu wapole huwa magaidi sanaaa.. makatilii.. wanajifichia humo kwenye ukimywaaa fatilia magaidii wote, majambazi na watu wenye rohoo mbayaa huwa wapole sanaaa 😂😂😂
Ugonjwa wangu halafu awe mrefu...Watu wapole huwa magaidi sanaaa.. makatilii.. wanajifichia humo kwenye ukimywaaa fatilia magaidii wote, majambazi na watu wenye rohoo mbayaa huwa wapole sanaaa 😂😂😂
Ooh yeah vilipotea kwa mudaNiliwahi viona miaka ya nyuma sana
Wa kishua HM tu,sisi wengine😁Wewe Na huyo mwenye kukutetea ndo wakishua sisi mtuache tusumbue mtaa🤣🤣
Malkia ElizabethBasi najiona nani sijui🤣🤣🤣
Ewaaa na T 1990 ELY yupo hivyo hivyo.. kumbe tume mpitisha mtu sahihi kabisa kuku handle 😁😁Ugonjwa wangu
Nikipita nitatafuta aiseeOoh yeah vilipotea kwa muda
Morogoro vipo hapo mjini .
Huyo HM ndo nani tena jamaniWa kishua HM tu,sisi wengine😁
sina mkuuWeka neno mkuu 🙂🙂
Sijakusikia umesema😩😩Ewaaa na T 1990 ELY yupo hivyo hivyo.. kumbe tume mpitisha mtu sahihi kabisa kuku handle 😁😁
Wachaaaa
Ni huyu anajiita skweadi tisa nani sijuiHuyo HM ndo nani tena jamani
Unahisi umeiteka dunia,Wachaaaa
Jamani jamani.. unamjua carlos jambazi wa kwenye movie ndio tunaendana nae.. nakuchekea huku nakuchinjaaa 😂😂😂😂😂Sijakusikia umesema😩😩
Nimeshatulia😎Tulia weweee 😧😧😧