Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena wewe inatakiwa umpate mume ngangari kama wa kanda maalumu ukileta mambo yako chap Kwa haraka anakuzibua🤣🤣🤣vinginevyo utampanda hadi kichwani.

Hebu tuache masihara..hivi kwanini vilastborn vinapenda kuendesha watu?
Dah yaani umenichekesha,,jana mama na dada wanaingia chumbani kwangu,wakaingia haraka haraka wakafunga mlango..nikaanza kucheka.
Dada akawa anacheka huku anasema yaani hadi chumbani tunaingia kwa hesabu tushajitune😂maana tunajua tukiacha mlango wazi hapa mbu wakaingia mambo yatakuwa si mambo🤣mziki wangu🤣😂
Eti kitoto kidogo cha juzi unataka kutuendesha watu wazima🤣🤣🤣
 
FB_IMG_1641792369945.jpg
 
Back
Top Bottom