Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,638
- 7,144
Mchana mwema na uwe kwenu wakuu
Wala kaache tu(hii kauli imejaa unyenyekevu mno)😆😆..Wala, kaache tu. Katakuja kutusimulia hapa na machozi (God forbid)
Tutakuondoa Kwa lazima.tunapingana Na roho za kula ugali Na maharage nyumbani Kwa wazazi😂😂😂😂😂😂😂
Kwa jinsi ninavyokula bata na ugali wa bure nyumbani,Hata mawazo ya kuondoka nyumbani sina.
Key holder zile zenye majina .Sijaona picha, ni tunini?
Kabisa yaani[emoji23][emoji23][emoji23]Yani vinajikutaga kutaga tu kama vyenyewe vina haki muda wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala kaache tu(hii kauli imejaa unyenyekevu mno)[emoji38][emoji38]..
Tunakataa machozi Kwa namna zotesema hallelujah mtumishi wa Bwana.Ila kabadilike tu maana wanaume hawataki kuendeshwa)
Chaubishi Saint Anne ukipata mchumba niweke kwenye list ya michango Mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tutakuondoa Kwa lazima.tunapingana Na roho za kula ugali Na maharage nyumbani Kwa wazazi
Naona ujasiri Na ushujaa Wenu unaanzia tangu kutungwa mimba kha😁😁Kabisa yaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatupendi unyonge
Ndo uache ubishi wa kwenye mpira Na kubet sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa,siwezi kukusahau.
Inawezekana kabisa.Naona ujasiri Na ushujaa Wenu unaanzia tangu kutungwa mimba kha[emoji16][emoji16]
Mkuu wewe moustache wako una pembejeo kuliko kawaida [emoji23][emoji23]Mchana mwema na uwe kwenu wakuuView attachment 2075861
Nikipenda nakuwaga zoba[emoji16]Ndo uache ubishi wa kwenye mpira Na kubet sasa
Amen
Ngoja kaumri kakate ndo utajua hujui🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niende wapi kuteseka sasa.
Kuna dada yangu age mate wako yupo,mimi ni nani haswa nipate kiherehere cha kukimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani🤣🤣Mkuu wewe moustache wako una pembejeo kuliko kawaida [emoji23][emoji23]
Zoba ni wimbo huo ujueNikipenda nakuwaga zoba[emoji16]
Zoba ni wimbo huo ujue
🤣🤣🤣🤣!! Nawaaminia!
🤣🤣🤣🤣Inawezekana kabisa.
Ulast born raha ,asikwambie mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah nikiwaonaga hata wakubwa wapo nyumbani basi hata siogopi yaani😁.Ngoja kaumri kakate ndo utajua hujui🤣🤣
Age mate wangu!!maana ni 30’s sio!!na yuko nyumbani!ana habari ya kuhama nyumbani au habari yenyewe hana!tuanzie hapo kwanza