Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Kaburudike na ule uziMaisha yafaa nini bila mzazi?
Kaburudike na ule uziMaisha yafaa nini bila mzazi?
[emoji40]Kama mama alivyomchamba mtu juzi kati flani hapa
What happened?? Bado umevaa barakoa tu[emoji40]
YeahWhat happened?? Bado umevaa barakoa tu
Naona Leo mmeamua kukomaa na wanaume ma Hb 🤣..sasa wafanysje na ndivyo MUNGU alivyowaumba? Eti Karma ?Mimi napenda kuwasifia tu ila kuwa nao kwenye mahusiano hapana kwa kweli. Wagumu wagumu ndio wenyewe.
Ifanye uivue Corona hamnaYeah
[emoji23]navuaIfanye uivue Corona hamna
Bora![emoji23]navua
Endelea kutema nyongo🤣..tatizo wenyewe hawapo hawakusikii😅Wanaume wazuri wazembe.
Huu mwaka umekuja na kisirani Sana,Bora uishe tu😅Mkuu huenda hauonekani, mie hapa kama monitor mda wote nipo
Kwa sasa unaweza kuja mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jinga kabisa[emoji2440]
Sawa naja,niandalie mirinda nyeusi tu.Kwa sasa unaweza kuja mkuu
[emoji23]Bora!
Utashindwa kuhema bureeee
Hahaha......Sawa naja,niandalie mirinda nyeusi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha......View attachment 2073883
😂😂😂 kweli uko occupied sikuhizi, hadi unasahau weekendKumbe ni wekeend leo 😂
Kuchele dyadya kuchele 🤣🤣
Mwezi wenye siku 60😁Hahaha......View attachment 2073883