Habari za siku shemudarlingAbee shemeji yangu wakienyeji
Huyohuyo😂Unamzungumzia first born....Tamar!
Nasema uongo ndugu zangu?
Ana* plug [emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2073906
Eti wakuu hivyo vya gold ndio vinaitwaje? Huyu manzi huyu simuelewi[emoji1787]
Chief kuwa makini usije ukapachikwa hicho kiplug! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]View attachment 2073906
Eti wakuu hivyo vya gold ndio vinaitwaje? Huyu manzi huyu simuelewi[emoji1787]
Maji ni uhai[emoji122][emoji122][emoji122]
Ndo maana unanihitaji.Ndio mwanzo wa kuishi kwa mawazo😂
Wazuri sana hawafai
Babe wangu nakupenda hivyohivyo.Ndo maana unanihitaji.
Na sura yangu hi kama kona ya fenesi....
Ni stress free, guaranteed 🤣🤣
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji818][emoji818]Mungu akikupa nafasi ya kutenda jambo lililondani ya uwezo wako kwa yeyote anaehitaji msaada usiipoteze.
Watu wanateseka na vingi mioyoni mwao,na hawani wanao waamini kuwaambia.
Mungu awapunguzie adhabu wale wote waliokatisha uhai wao kwa sababu yeyote ile.View attachment 2073977
Babe lile ombi langu la asubuhi ndio umelipiga chini?😔Ndo maana unanihitaji.
Na sura yangu hi kama kona ya fenesi....
Ni stress free, guaranteed 🤣🤣
Daah...umenitandika dislike hadi nimeskia usingiziBabe lile ombi langu la asubuhi ndio umelipiga chini?😔
Kwahiyo babe leo umegoma kabisa?Daah...umenitandika dislike hadi nimeskia usingizi
Nimeona mataga wanaranda randa jamviniKwahiyo babe leo umegoma kabisa?
Tangu saa ngapi nimekuomba jamani[emoji19]Nimeona mataga wanaranda randa jamvini
Next time mtoto mzuri mama mtumishi.Tangu saa ngapi nimekuomba jamani[emoji19]
Si haijawahi kujukikana huwa mnapenda nini haswa au ninini haswa mnataka.Basi mie kuwasifia kote kule nikajua ndiyo type zako. Binafsi sivutiwagi na wanaume wazuri sana wa sura.
Hata mwanaume nikiona anajisifia uzuri huwa namshangaa. Mimi ningekuwa mwanaume nisingetamani kuwa mzuri.
Kudate na mwanaume aliyenizidi uzuri kwa kweli inahitaji moyo. Unakuta mwanaume mrembo mweupe dooh.
Halafu nimegundua wanawake wengi tukishafikia umri fulani huwa hatupendi wanaume wazuri weupe. Labda vibinti ndiyo bado vinababaika na sura na rangi za wanaume.
Nina rafiki yangu anakuambia hawezi kabisa date mwanaume mweupe maana wakifanya huwa anahisi kutapika. Siwasemi vibaya wanaume weupe ila hao wana type zao tu kwa kweli.