Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Kitambi kina raha yake.. kakiwa kale kakubwa kubwa.. hata mtu akiwa anakapapasaaa unasikia rahaaa 😉😉😉😉Heaven Sent Ona wanavyotujaza 😂
Kitambi kina raha yake.. kakiwa kale kakubwa kubwa.. hata mtu akiwa anakapapasaaa unasikia rahaaa 😉😉😉😉Heaven Sent Ona wanavyotujaza 😂
Ninavyopenda cake.Sawa usijali.
Au nikupikie nzima nzima??
Dk nyingi ili kigundulike nini atii 🙄🙄🙄..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa wee acha uongo wako hapa.
Hata ukitaka usiku wa manane utapikiwa.Ninavyopenda cake.
Utakua umenipatia sana.
Heaven Sent Ona wanavyotujaza [emoji23]
Usikubali kujazika wii angu, punguza kitambi plz. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heaven Sent Ona wanavyotujaza [emoji23]
Usiniambie!!Hehehehhehhe na bado hajaoa yule ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kufika kibo na mawenzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dk nyingi ili kigundulike nini atii [emoji849][emoji849][emoji849]..
[emoji817][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu awape nini..
Ila mimi siwataki aisee,,mwanaume anakuwa mzuri kuliko mimi hapana kwa kweli.
Huyo HS mtoe.Heaven Sent Ona wanavyotujaza 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha wanatupa tu moyo hapo. Huko pembeni utasikia "mwanamke tumbo hadi linaziba mzinga".[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Kumbe ni wekeend leo 😂Za weekend? Uko wapiii
Ndio mwanzo wa kuishi kwa mawazo😂[emoji817]
Naunga mkono hoja .
Tumbo dogo kuliko lako?? 😂 mbona noma na nusu... Kwahiyo kitambi ni mimi tu?Huyo HS mtoe.
Ana tumbo dogo kuliko langu.
Usiniambie!!
Hebu fanya mambo niwe wifi yako.
Kalivyo kapole vile aisee[emoji39][emoji3059]
Tusichoshane, kilimani kila mtu afike kwa mbinu zakeee.. 😂😂😂😂Kufika kibo na mawenzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo HS mtoe.
Ana tumbo dogo kuliko langu.
Natia aibu basi tu najikaza.Usikubali kujazika wii angu, punguza kitambi plz. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumbo dogo kuliko lako?? [emoji23] mbona noma na nusu... Kwahiyo kitambi ni mimi tu?
Ebu weka picha tuone kama kidogo au kiongezeke kidogo 😉😉Tumbo dogo kuliko lako?? 😂 mbona noma na nusu... Kwahiyo kitambi ni mimi tu?