Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kulewa ufukweni kuna raha yake
20220108_185454.jpg
 
Wanaume wazuri wazembe.
Wazembe halafu wana tabia ya kujisikia fulani hivi. Na ndiyo hao wanaoongoza kwa kuchagua wanawake na wanaamini kuwa kila mwanamke anawataka na anawashobokea kumbe wangejua wengine tunawachukulia kama vivulana ambavyo havijabalehe.

Dooh naimagine eti kamwanaume kacute ndiyo kananioa mimi halafu na kenyewe kanajiita baba wa familia nyieee mbona ngumu kumesa. Nitakaonea bure tu jamani maana nitakuwa nakaona kavulana hiyo nafasi inawafaa wanaume wenye sura za kiume.
 
Halafu ukute kanakupelekesha aloo 🤭si katatandikwa ngumi za kutosha hadi kachubuke.

Sijui wanajionaga vipi yaani😂,
Japo siyo wote.
 
Wazembe halafu wana tabia ya kujisikia fulani hivi. Na ndiyo hao wanaoongoza kwa kuchagua wanawake na wanaamini kuwa kila mwanamke anawataka na anawashobokea kumbe wangejua wengine tunawachukulia kama vivulana ambavyo havijabalehe.

Dooh naimagine eti kamwanaume kacute ndiyo kananioa mimi halafu na kenyewe kanajiita baba wa familia nyieee mbona ngumu kumesa. Nitakaonea bure tu jamani maana nitakuwa nakaona kavulana hiyo nafasi inawafaa wanaume wenye sura za kiume.
Kama mama alivyomchamba mtu juzi kati flani hapa
 
Back
Top Bottom