Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Moral lesson?

In our journey we're never going to get all our wishes granted.

We might be needed to settle for less....atleast for sometime 😉
Kabisa nimejifunza😂😂😂
Leo umesimamia msimamo wako tangu asbh,pamoja na kukupamba kote kule.
 
  • Nzuri
Reactions: Pep
Mungu akikupa nafasi ya kutenda jambo lililondani ya uwezo wako kwa yeyote anaehitaji msaada usiipoteze.
Watu wanateseka na vingi mioyoni mwao,na hawani wanao waamini kuwaambia.
Mungu awapunguzie adhabu wale wote waliokatisha uhai wao kwa sababu yeyote ile.View attachment 2073977
Mungu awabariki wale wote waliotoa muda wao kuniombea,kunitia moyo,kuniinua pale nilipoanguka,,yaani kuna watu wametumwa na Mungu kuinua watu.

Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli.
 
Hakuna sehemu napata amani kama kanisani.

Mimi siimbi kwaya mkuu,naimbaga tu worship&praise team..napenda sana kuabudu...muda wa kusifu napenda kuzichapa step,,yaani hapo nitacheza tani yangu tena freestyle kabisa.
Hongera aisee, kuna wakati nilikua kwenye kikundi fulani cha sala kanisani kwetu ambacho kusifu na kuabudu ni sehemu ya sala, sa hakuna wakati mgumu niliokuwa napata kama kucheza, hio kitu imenishinda mpaka nimetoka kwenye kile kikundi, na ndipo nikanyakwa na dunia tena
 
Ungeijua nguvu iliyopo kwenye kusifu na kuabudu ungeongeza juhudi na shauku ya kumsifu na kumuabudu Mungu.

Kuna muda hauhitaji hata kuomba,Mungu anaanza kuachilia majibu kipindi unamsifu na kumuabudu.
 
Ungeijua nguvu iliyopo kwenye kusifu na kuabudu ungeongeza juhudi na shauku ya kumsifu na kumuabudu Mungu.

Kuna muda hauhitaji hata kuomba,Mungu anaanza kuachilia majibu kipindi unamsifu na kumuabudu.
I know, lakini tulikulia kwenye imani ya kutokucheza kanisani nadhani catholic unawajua, achana na hawa wa leo!
 
Back
Top Bottom