Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mimi kuna muda huwa natamani tu hata ningekufa nimfate mzee.
Sina cha kupoteza duniani hapa
Naunga mkono hoja.. but in Good way unaweza msihi Mungu akakutwaa.. na kweli wengine yote ambayo tuliluwa tuna taabikia usiku na mchana ni kwa ajiri ya dady.. I rember ile siku ananipeleka hadi chuoni ananisubiri nifanye usajili.. this.... 🤕🤕🤕
 
IMG_20220108_181326.jpg
 
Sijui hata nikuelezaje unielewe.... ila jua tu kuwa viatu vyenu vinani-fit vizuri kabisa.
☹️☹️☹️ .. hapa nakuwaga kama mtoto.. nataka hii iwe in good way.. sina jambo la maana lilobaki hapa.. duniani twasukuma tu ma sekunde, dakika na masaaa, wiki na miezi... cha maana kishaondoka na maono yangu, nilijenga maono yangu ndani ya baba yangu.. kasepa na maono yake na yangu pia
 
Naunga mkono hoja.. but in Good way unaweza msihi Mungu akakutwaa.. na kweli wengine yote ambayo tuliluwa tuna taabikia usiku na mchana ni kwa ajiri ya dady.. I rember ile siku ananipeleka hadi chuoni ananisubiri nifanye usajili.. this....
We acha tu.
Mimi mzee wangu amezunguka na mimi hospital kupima macho ..yaani kila nikipita ile njia nalia mno acha tu.

Siku ya kwanza mwakajana napokea mshahara wangu wa kwanza,nililia mno kwa uchungu..mzee wangu hajaweza kula japo mshahara wangu zaidi ya viboom ambavyo navyo nilikuwa nampa elfu 10 10 ila mamillioni ya ada ananilipia.
Heri yako wewe mzee wako hata amekula matunda yako.
 
.. hapa nakuwaga kama mtoto.. nataka hii iwe in good way.. sina jambo la maana lilobaki hapa.. duniani twasukuma tu ma sekunde, dakika na masaaa, wiki na miezi... cha maana kishaondoka na maono yangu, nilijenga maono yangu ndani ya baba yangu.. kasepa na maono yake na yangu pia
Mmh exactly when we put our parents in the place of God; He will never share His glory ujue. Mungu hawezi kuyafungamanisha maono yako na mtu ambaye ameshaondoka kwenye ulimwengu huu, otherwise na wewe ungeshaondoka as kazi yako ingekuwa imeshakwisha. You are still alive kwa sababu bado hujalitimiza kusudi la Mungu hapa duniani. Nusudi lake kwako; possibly halifungamani na uwepo wa baba yako. Hatuishi kutimiza makusudi au maono kwa wazazi wetu; bali kwa Mungu. Everything we do; should be for the kingdom of God first; not for our personal desires

I know ilivyo ngumu kumpoteza mzazi; i know.......Mwaminini Mungu; katika yote yeye bado ni Mungu wenu, na ni mwema kwenu always
 
Back
Top Bottom