Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Bora hivyohivyo,asiwe black kihivyoo.Maji ya kunde si ndiyo wanaungana tu na sisi weusi
Bora hivyohivyo,asiwe black kihivyoo.Maji ya kunde si ndiyo wanaungana tu na sisi weusi
Barabara ya 13,Ulyankulu🙌🥰🥰🔥🔥🔥
Umeandika umenikumbusha mbali sana na babaaa anguu.. Ulyankulu 🤕🤕Barabara ya 13,Ulyankulu🙌🥰🥰🔥🔥🔥
Ndio zangu hizi
We acha tu ,mimi namkumbuka mzee wangu enzi hizo alikuwa analeta hizi tape na mikanda tunaangalia ile mikanda mikubwa na deki kuubwa tv la chogoUmeandika umenikumbusha mbali sana na babaaa anguu.. Ulyankulu 🤕🤕
Watoto wa juzi hamuwezi kuzijua hizi😂(natania)Choir ya wapi hii
Huko sasa ndio kwenyewe.Sijui kama Anne anayaelewa mambo yetu wahengaView attachment 2073701
siujui yaniWatoto wa juzi hamuwezi kuzijua hizi(natania)
Nilivyoona comment yake nikajua tu utajimwambafyWatoto wa juzi hamuwezi kuzijua hizi(natania)
Yaaani😂😂😂Nilivyoona comment yake nikajua tu utajimwambafy
Wahenga wafuatiliaji tunaelewa haya mambo.siujui yani
Ooh okayWahenga wafuatiliaji tunaelewa haya mambo.
Yaani kikianza tu kinanda najua huu ni wimbo gani.
Mungu katuumba kwa mfano wake, katu tofautisha na vingineeSijui kama Anne anayaelewa mambo yetu wahengaView attachment 2073701
acha na mie nife asee nimfate baba wanguu.. 🤕🤕🤕..We acha tu ,mimi namkumbuka mzee wangu enzi hizo alikuwa analeta hizi tape na mikanda tunaangalia ile mikanda mikubwa na deki kuubwa tv la chogo
Tumepewa masikio na macho ya kuonaMungu katuumba kwa mfano wake, katu tofautisha na vinginee
Shindwa, nimefuta IJNacha na mie nife asee nimfate baba wanguu....
Kuna uzi fulani hivi wa oldies za gospel. Ngoja nikausakeYaaani
Huku kwenye mziki hasa wa zamani sipo mweupe sana.
Labda hizi nyimbo za sasahivi...ila hizi za zamani sijui kweli kama kuna wimbo siujui.
Kuna nyimbo nazitafuta sizipatiKuna uzi fulani hivi wa oldies za gospel. Ngoja nikausake

Na mimi kuna muda huwa natamani tu hata ningekufa nimfate mzee.acha na mie nife asee nimfate baba wanguu....