Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,862
- 147,311
Dogo[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590] mlongo kuna mtu anafaidi wallah.
Dogo
Dogo
[emoji34]hayo mambo hapana[emoji23]
Dogo[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590] mlongo kuna mtu anafaidi wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi ujue nimecheka, kumbe nawee mpana iv? Lol
😁😁😁 sema nakuwa mzito hatari.. uzito wa mifupani unaongezeka.. ikatokea nimekukanyaga unaweza hisi IST imepita juu yakoYes kwa wengine ni kweli kabisa.
Mnatusema 'mimi na SA.
[emoji16][emoji16][emoji16] sema nakuwa mzito hatari.. uzito wa mifupani unaongezeka.. ikatokea nimekukanyaga unaweza hisi IST imepita juu yako
Warda 😍
Sina njaa😊Unasubiri nini kula? Em kale harakaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]majanga mlongo[emoji23]Wooooow had kidoti? Jaman watu mbna bahati zenu wallah. [emoji3590][emoji7][emoji8][emoji4]
😂😂Mnatusema 'mimi na SA.
Wengine tunakosea wapi kwani? Hizi holiday nimejitahidi kula sana matokeo yake nikikaa napakata tumbo.Hahah my sisters ni mabonge hadi basi; lakini wao ndiyo sio walaji kabisa
Warda amekasirika[emoji34]Warda [emoji7]
Mwenzio nimenenepa tumbo 😂😂😂
Watuache
Kilichomkasirisha jamani?Warda amekasirika[emoji34]
huko mbinga hujaacha mdogo mtu!?..Hiyo[emoji173]View attachment 2073251
Nasubiri muhariko wa xmass hadi leo[emoji47]Kilichomkasirisha jamani?
Sasa Warda unataka mualiko wa x mas, kitimoto ungekula? 😂Nasubiri muhariko wa xmass hadi leo[emoji47]
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]sawa bhana,Sasa Warda unataka mualiko wa x mas, kitimoto ungekula? [emoji23]
KajilazimisheSina njaa[emoji4]
sio kaka mimi mwenyewe nahusika hapo, kule kwingine pia yuko safi!?..
Mimi nishakata tamaa ,hata shingo imenishinda kunenepa.Mwenzio nimenenepa tumbo 😂