donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Milokuwa mjini mnafaidi jomoneeehWallah,ni kusafiiView attachment 2071526
Watu mnasafiri tyuuh.
City center. [emoji7][emoji7][emoji24]Unaishi wapi Kwa dar?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏!New mlokole in townView attachment 2071783
Kumbe tunaotumia hiki kinywaji ni walokole[emoji3061]New mlokole in townView attachment 2071783
Poapoa usiwaze!Ukitaka kuabudu nishtue miss mahondaw [emoji23] au kusifu ndio poa zaidi?
Wapi hapa? Mbna sipajui?Njoo hapa[emoji116]View attachment 2071869
Ooh vyema sana rafiki ..Hapa worshippers tuko wengi kumbe eeh[emoji23] lakini mimi nadhani napenda kusifu zaidi
Tumejaa teleeeee!!!Mpooo
Wee nipo jirani hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]!
Yes mlokolee..hapo upate kakonyagiKumbe tunaotumia hiki kinywaji ni walokole[emoji3061]View attachment 2071867
Weee njoo tuleweeeTumejaa teleeeee!!!
Niko vizuri Mungu mwema sana! Naamini uko poa pia..Ooh vyema sana rafiki ..
Habari ya leo ?