Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,451
Ee...karibu. Napenda sana kula lkn huwezi amini safarini huwa inabidi nijikaushe tu.Kilimanjaro ndogo
Ee...karibu. Napenda sana kula lkn huwezi amini safarini huwa inabidi nijikaushe tu.Kilimanjaro ndogo
🤣🤣🤣🤣🤣 !🚶🚶Kwenye ya leo[emoji1787]
Mzee wa Vilinge [emoji23] Happy New Year!!!Paja la kike
Daaha, usha kunywa chai nduguKabisa...siku hazigandi aisee!
Ndio Ipo jikoni..!Daaha, usha kunywa chai ndugu
Yeah na safarini bhana Bora usiwe unakula.Ee...karibu. Napenda sana kula lkn huwezi amini safarini huwa inabidi nijikaushe tu.
Kumbe bado, bora yangu ipo mezani! KaribuNdio Ipo jikoni..!
Asa shida yangu njaa ikiuma sana nikifika huwa nashindwa kula labda had kesho yake. Hapo tumbo litauma huwa nakunywa tu chai basiYeah na safarini bhana Bora usiwe unakula.
Ukifika utalipiza kisasi hahahaahah
Asante nakuja 🚶!Kumbe bado, bora yangu ipo mezani! Karibu
I am waiting for youAsante nakuja [emoji124]!
Una matatizo ya gas???Asa shida yangu njaa ikiuma sana nikifika huwa nashindwa kula labda had kesho yake. Hapo tumbo litauma huwa nakunywa tu chai basi
Wala...sijui kwa nn napatwa na hiyo haliUna matatizo ya gas???
Pole sana.Wala...sijui kwa nn napatwa na hiyo hali
Ndo unarudi moshi mkuu
Iringa boss...Ndo unarudi moshi mkuu
Ukitaka kuabudu nishtue miss mahondaw [emoji23] au kusifu ndio poa zaidi?Nasema hiviiii.. Naomba nyimbo ya kuabudu yakunizamisha rohoni [emoji15][emoji854]!
Hapa worshippers tuko wengi kumbe eeh[emoji23] lakini mimi nadhani napenda kusifu zaidiKuna wimbo huu unaitwa huyu Mungu ni baba .