Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Dah,Walevi sio watu wazuri[emoji23][emoji23] usiwasikilize hata, tena weka maskio pamba[emoji1787]
Nisapoti basi ili nionje hata wine jamani.
Ongea na baba mtumishi atoe ruhusa.
Dah,Walevi sio watu wazuri[emoji23][emoji23] usiwasikilize hata, tena weka maskio pamba[emoji1787]
Ile nayo tamu sanaaa, nadhani kwenye wine tamu na cheap ile inaongoza.Hivi ile Saint Anne ipoje jamani??
Ukute ni tamu ssna tu na hamsemi.
Mweee ona nayo sijawahi kuonja[emoji134]Ile nayo tamu sanaaa, nadhani kwenye wine tamu na cheap ile inaongoza.
Itabidi niongee na baba mtumishi kuhusu hili, natumai atanielewa. Tena utaanza na ya jina lako St. AnnaDah,
Nisapoti basi ili nionje hata wine jamani.
Ongea na baba mtumishi atoe ruhusa.
Kabisa yaani[emoji847][emoji847]Itabidi niongee na baba mtumishi kuhusu hili, natumai atanielewa. Tena utaanza na ya jina lako St. Anna
Eeh hatutaki shida😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeh watu mnakunywa wine tyuuh
Mkuu unatupeperushia ndegeWalevi sio watu wazuri[emoji23][emoji23] usiwasikilize hata, tena weka maskio pamba[emoji1787]
So sore mkuu, nilijua mmezima hamtaona comment😅Mkuu unatupeperushia ndege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ivo ccWewe mtu wa pili unaniambia jamani[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie naona kabisaa.Eeh hatutaki shida[emoji23][emoji23]
Ulikua unatumia vitu laini safi kwa warembo!..kwann uliacha?Niliacha ingawa hivi vikali havikua vinywaji vyangu.
Mimi ilikua Redds au Savanah
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimepiga shots mbili tu nimeshaingia kwenye blanket..
Jana kidogo nife [emoji1787][emoji1787]
Mpyaa naangaika nayo now[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni mpyaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pombe kwa afya, wacha weeMpyaa naangaika nayo now
Guiness leo sina. Savannah ni vitu vya waremboJack Palladino lect naomba upost Guinness na Savannah, [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku naangalia live miss East Africa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pombe kwa afya, wacha wee
Dogo udichanganye madesa utazima....[emoji1786][emoji1786] [emoji39][emoji39]View attachment 2056213View attachment 2056214