Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana basi[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana basi[emoji28]
Ulichanganya vingi sana, ilikua haki yako kurudisha chenchi😂 Pole sanaNilianza na Drosty Hof nikaenda small planet pale nikahamia humo napoozea na robertson na zile amapiano na wana mara mzigo umekata 😂! Nikasema nijaladie na serengeti lite.
Nimetoka pale niende TIPS weee niliishia parking nashukuru tu sikuwa naendesha siku ile. Nikamwaga chenchi hata sikujua ilikuwaje. Nimekuja amka kesho saa 4 sijielewi nilifikaje geto ila chenchi zilinisaidia.
Siku akiwa anapiga hivyo vitu uwepo pembeni umwambie akuonjeshe na weweAnakaba kotekote wakati yeye hizo wine tamu anabugia.
Hataki kabisa kusikia hizo habari kutoka kwangu,yaani Mungu anamuona[emoji23]Siku akiwa anapiga hivyo vitu uwepo pembeni umwambie akuonjeshe na wewe
Baba mtumishi anakubania, anaota utafaidi venye anafaidigi yeye😂😂Hataki kabisa kusikia hizo habari kutoka kwangu,yaani Mungu anamuona[emoji23]
Ila Jaguermasta hapanaUlichanganya vingi sana, ilikua haki yako kurudisha chenchi😂 Pole sana
Head girl wa secondary ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa jamani Mtumishi. Wewe relax tu; mimi mwenyewe sura na shape ya ki-wife material kabisa, sina maajabu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni mpyaa?The beast...Jagermeister[emoji41]View attachment 2055842
Sijawah ionja hyo, jina tu linaniogopesha😅Ila Jaguermasta hapana
Store [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2055897
[emoji2308]
Ladha yake kama unakunywa syrup hivi😅 kama unakunywa B- Complex ya mafua ile kumbe ni uleviSijawah ionja hyo, jina tu linaniogopesha😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimechoka & nasinzia sana mama mtumishi.
Mwisho ntakuja piga bichwa chini.
Wacha nikalale.... till then!
View attachment 2055904
Sipatii picha mashairi atakayoshusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba mtumishi anakubania, anaota utafaidi venye anafaidigi yeye[emoji23][emoji23]
Siku akikupa ukamtunzie nawe jisevie fasta, asikubambe tu lakin itakua vita humo ndani
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Vilevi vya hivyo vinakuaga vinalewesha balaa, maana unakua unaenjoy tu ilivyo tamu ukishtuka umelewaLadha yake kama unakunywa syrup hivi😅 kama unakunywa B- Complex ya mafua ile kumbe ni ulevi
Jina tyuuh mie hoi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama mtumishi njoo unywe hii tamu kama mirinda nyeusiView attachment 2056012
Hiyo kila mtu anasema hapanaIla Jaguermasta hapana