Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mimi vile nampenda baba mtumishi wangu ,nimewasaliti walevi wote humu kwa sababu yake.
Watu walipanga kunipigisha vyombo,wakanijaza na upepo wiki nzima,ila akija sasa yeye akatamka tu neno moja basi formations za walevi zote zinayeyuka.
Walevi sio watu wazuri😂😂 usiwasikilize hata, tena weka maskio pamba🤣
 
Back
Top Bottom