Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
HahahaaMnanitamanisha jamani
HahahaaMnanitamanisha jamani
Hivi ulisema umeacha haya mambo?
Hio usiikamie haifai😅Nimepiga shots mbili tu nimeshaingia kwenye blanket..
Jana kidogo nife![]()
Kupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu
ISO hayupo tatizo.Ufanye hivyo bana usipoiweza smirn off hamna pombe ingine utaweza![]()
Kama redds na savannah bado hujawahi kunywa ww😅Niliacha ingawa hivi vikali havikua vinywaji vyangu.
Mimi ilikua Redds au Savanah
Una vidole vizuri na rangi pia ya ngozi
Nao wajanja walijua watu watazibugia, wangeeka hata 4% lol.Nilipokuja kutwist chupa na kusoma 7% alc nikasema hii!!!😅😅😅
Mtanifamya nijione mzembe.Hahahaa
Kunywa na mm hutaki kabisa😅ISO hayupo tatizo.
Nimepiga shots mbili tu nimeshaingia kwenye blanket..
Jana kidogo nife![]()

Kulewa mimi siwezi.Nilipokuja kutwist chupa na kusoma 7% alc nikasema hii!!!![]()
Hahahaha mie mwenyewe nilipiga mbili tu juzi kati nikaona weee hii ni nini naweka kwa mouth just to find out ni 7% niliwacha ujinga nikawasha chombo na kusepaNao wajanja walijua watu watazibugia, wangeeka hata 4% lol.
Kwa sasa 2 tu zinanilaza chali, sinywi zaidi ya hizo, labdaa niwe ndani.
Kama redds na savannah bado hujawahi kunywa ww![]()

Wewe huwezi kulewa kabisa ni kweli😅 ntakuwekea 2 kwanza kisha utaongezewa 2 zingine ili uanze kunifundisha kinyaki😅Kulewa mimi siwezi.
ha ha ha nikajua unamaliza Chupa.![]()


Hahahahah hilo li smirnoff sio chungu, kuna Desperado pia sio chungu pamoja na savannah! Kama ushakunywa savanna desperado ina same taste! Kuna ile flynig fish ya TBL pia sio chungu ile nayo ina ladha ya limao na sukari😅kwanini
hayo machungu siyawezi yaani hapana.
Hili likitu huwa linanipandisha nyongo na ladha yake ya sukari sukari kama Codeine!
Nilishajitwisha hili nikapiga chenchi tips![]()



pole sana aiseee Yeah....Tamu sana, kwa sisi tusiopenda vinywaji vichungu inatufaa sana