Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nawatakia heri na fanaka ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya.
Bwana Mungu awabarikie na kuwalinda
Akuinulieni nuru za uso wake na kukufadhili
Akuinulie uso wake na kuwapeni amani[emoji120][emoji120]

KRISTO AMEZALIWA KWELI ĶWELI HALLELUYA
IMG-20211225-WA0000.jpg
 
Nawatakia heri na fanaka ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya.
Bwana Mungu awabarikie na kuwalinda
Akuinulieni nuru za uso wake na kukufadhili
Akuinulie uso wake na kuwapeni amani[emoji120][emoji120]

KRISTO AMEZALIWA KWELI ĶWELI HALLELUYA View attachment 2056259
Amina🙏🙏🙏
Heri ya Christmass na kwako pia mama amchungaji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msukuma unaniua mbavu asubuhi asubuhi ujue hahaha! Kam kauwaaa mine tena wanijua!
Mwenye bosslady wake akijitojeza basi mie ndukiiii [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Tucheke na kufurahi bana. Mwokozi wa Ulimwengu kazaliwa leo...

Ukiselfika nitag ukiweza bana. Tena nilinunua zawadi yako hapa sema ndo sina mahali pa kuipeleka [emoji24]
 
Lol ntakuja badae kuichukuaaa usiigawe jamani
 
Back
Top Bottom