Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Nitakua nimejificha mbali sana😂 wacha ajeNgoja aje hapa utasikia majibu yake![]()
Nitakua nimejificha mbali sana😂 wacha ajeNgoja aje hapa utasikia majibu yake![]()
Nina kipilipili kigumu wiiUna nywele nzuri sana Wii, ila hupendi nywele! Unazikata tuu kila mara. Ndio penye miti hapana wajenzi?
Njoo mkuuMiyeyusho wewe
Tupo wengi mkuu wa Tandale kwa mfuga mbwaKupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu
Nzuri wapi nazibembelezaga tuBasi una asili ya nywele , zinakua haraka .
mie zangu hapa nilisuka style ya vitunguu hivi nashangaa nywele zimekatika , nakomaa nazo yaani .

Mimi kwa kuwaona tu hata kuonja siwezi.Anakula ndio,
ntakutolea vichwa na maganda ule nyama ya ndani kwanza..
Kuna dada msaidizi wa kazi alikujaga alivyowaona alikuwa kama wewe, nikamuonjesha, basi toka siku hiyo akanogewa.

Nitakua nimejificha mbali sanawacha aje





Kesho nanyoa
wee.... suka suka kidogo bwanaA wapiwee.... suka suka kidogo bwana
Kuchana ni mtihani sana kwenye naturalNzuri wapi nazibembelezaga tu
Nasukaga kwa sababu kuchana kila siku zinauma mno,,nina nywe ngumu kama jiwe.
Ila nikianza kubana huwa nazifurahia.
Hazina uzuri wowoteKuchana ni mtihani sana kwenye natural
Ila nywele yako inawahi kukua .

Hii lazima nionje.Hii kitu ni tamu sanaa Saint Anne View attachment 2056050
Nipo mimi unga ungaKupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu
Hazina uzuri wowote
Nikianza kuchana nakata machanio.
Mimi sasa nikinyoa huwa nawaza kuchana maana nina nywele ngumu sana.
Naamua kusuka kwa sababu kuchana ni wakati wa kusuka tu,angalau napumzika kuchana maana nikinyoa basi kuchana ni kila siku.
Huwa nanyoa kipendwa tu😂Wenye nywele ngumu tunapata shida sana ,
Hupendi kunyoa kwa style au curl hivi ?
Kusuka huwa kunasave sana .