Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hata kisabato je ?Huwa nanyoa kipendwa tu![]()
Hata kisabato je ?Huwa nanyoa kipendwa tu![]()
Hivi ulisema umeacha haya mambo?shikamoo![]()
Hio yenyewe ushindwe ww tu
Nanyoa piaHata kisabato je ?
Inabidi nionje aiseeHio yenyewe ushindwe ww tu
We binti umenishinda tabia 😅🙌wee huyo uliye mtaja muache, mkewe anafaidi aseeh, kwa wembamba ule na urefu piaa, aaah afu iwekwe style ya msomali kafia kwenye fiati acha bhana wee,
Kukinaisha kunatokana na huo ubonge jaman wee mzee, sasa mwanaume unakua bonge ili ugundue nn? Kawe kakitambi ka kufutia tecno F1 bas,
Nakuja hivyoo hebu niwekee na kitumoto na maji makubwa ya masafi au kitulo,![]()
Siku ya 1 naionja hii, nilinogewa na utamu wake kuja kushtuka nimemaliza chupa 4.Hii kitu ni tamu sanaa Saint Anne View attachment 2056050
Yes. Alaf ni tamuSiku ya 1 naionja hii, nilinogewa na utamu wake kuja kushtuka nimemaliza chupa 4.
Haaa sitasahau jinsi ilinitenda ila asubuh nikaamka no hangover.
Hii huwa naiita juisi ya nanasi😅Siku ya 1 naionja hii, nilinogewa na utamu wake kuja kushtuka nimemaliza chupa 4.
Haaa sitasahau jinsi ilinitenda ila asubuh nikaamka no hangover.
Tamu sana, kwa sisi tusiopenda vinywaji vichungu inatufaa sanaYes. Alaf ni tamu
We una makuzi nilikwambia uje hutaki😅ungekuta ushainjoy maana hilo li smirnoff ni litamu yani kama juisi haina uchungu kama pombe zingine. Im pretty sure with 2 bottles you would be fine.Inabidi nionje aisee
Haiwezekani hadi sasa sijaonja pombe
Hii mtu ambaye hapendi uchungu wa bia anaweza bugia fasta fasta akihisi anakunywa juisi😅 ila gari ikiwaka sasa we 😅😅😅Tamu sana, kwa sisi tusiopenda vinywaji vichungu inatufaa sana
Hahahaa hii hata mtoto anaenjoy shida tu inaleweshaHii huwa naiita juisi ya nanasi😅
Nilipokuja kutwist chupa na kusoma 7% alc nikasema hii!!!😅😅😅Hahahaa hii hata mtoto anaenjoy shida tu inalewesha
Kesho nitaonjaWe una makuzi nilikwambia uje hutakiungekuta ushainjoy maana hilo li smirnoff ni litamu yani kama juisi haina uchungu kama pombe zingine. Im pretty sure with 2 bottles you would be fine.
Mnanitamanisha jamaniSiku ya 1 naionja hii, nilinogewa na utamu wake kuja kushtuka nimemaliza chupa 4.
Haaa sitasahau jinsi ilinitenda ila asubuh nikaamka no hangover.
Ufanye hivyo bana usipoiweza smirn off hamna pombe ingine utaweza😅Kesho nitaonja
Mimi situmii bia kabisa sababu ya harufu + uchungu wake. Hiyo burudani.Hii mtu ambaye hapendi uchungu wa bia anaweza bugia fasta fasta akihisi anakunywa juisi😅 ila gari ikiwaka sasa we 😅😅😅

