Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,639
Duh upo vizuri kumbeNdiyo siwezagi kunywa bia za aina moja![]()
Duh upo vizuri kumbeNdiyo siwezagi kunywa bia za aina moja![]()
Amina Amina... Utakua umefanya vizuri..Ntashukuru sana best enjoy your holiday wewe na familia yako!Nitaiwacha kwa bosi wako atakuletea. Kila la heri bosslady![]()
Safi mkemia tutakupa kazi ya usimamiz wa maabara kuhakiki viwangoNdiyo siwezagi kunywa bia za aina moja![]()


JamaniSafi mkemia tutakupa kazi ya usimamiz wa maabara kuhakiki viwango


Ahsante sana boss lady
Akhsante na kwako pia mkuu
Usd 3018! Not bad for holiday season
HhahNa sisi waleta nzi mezani, em tuselfika na ma-mirinda na fanta.
Merry Christmas Y'all. Drink Responsibly. Drive Safely
Ulikua unatumia vitu laini safi kwa warembo!..kwann uliacha?

Nipe nioe huyuHappy ChristmasMe n my loving daughter.
Ohoooo...acha kutishana bhanaaNyara ya serikali iyo shauri yako
Ungemrithisha kilinge huyuHappy ChristmasMe n my loving daughter.


